Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Nakuunga mkono, kuna watu wana chezesha kiuno anajifanya kapiga push ups 100Push up nzuri unatakiwa upige deep na taratibu , unashuka chini unatulia halafu unapanda unatulia , ukipiga push up namna hii kwa set utaona matokeo mazuri Sana.