Acha kufananisha supu ya pweza na vitu vya ajabu ajabu wewe!!!Watu hawajui squart na push ups kwa mwanaume ni muhimu kuliko supu ya pweza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kufananisha supu ya pweza na vitu vya ajabu ajabu wewe!!!Watu hawajui squart na push ups kwa mwanaume ni muhimu kuliko supu ya pweza
Sio tusi..Squirt ni katusi hako kaka
Nyie ndiyo wale wale wazee wa nadharia kuliko vitendo wazee wa details lakini hamna kitu, sijakataa kama chuma hakijengi kifua ni upigaji na namna unavyoseti kimo chako wakati unapiga,Una experience yoyote ya mazoezi Mkuu ni vyema ujifunze kitu ndio uchangie mada, Chest Workout kwenye Free Weight kuna Mitindo ya kupiga 50+ kuna position za Banch 50+ kuna Weight tape 50+ kuna weight position 50+ then from no where unakuja kusema push-up inapasua kifua What hell a you write here.
Kuna position za kujaza kifua, kutanua, kupasua nk is Push-up kuna yote hayo
Vitu unavyofananisha ni sawa na Mkoa na Bala, Push-up(Dodoma) Free Weight(EUROPE)...Guys tutafute maarifa duniani.
Bodybuilders, Models, Bodyguards nk...vile target yako ni kujenga mwili kivipi unataka most of them ni Free Weight Workout.
Tuvijue vitu ndio tuchangie.
Nadharia ninafanya Gym Workout toka Form Two unaniambia naongea nadharia navyoandika nina Home Gym sema nimeStay kwa muda mrefu kwasababu mblimbali.Nyie ndiyo wale wale wazee wa nadharia kuliko vitendo wazee wa details lakini hamna kitu, sijakataa kama chuma hakijengi kifua ni upigaji na namna unavyoseti kimo chako wakati unapiga,
Ila push ups ni best zaidi ila kwa kuwa unaleta usomi mwingi sana kwenye vyuma huwezi chukua mawazo ya mwenzako unayaona yako ni bora zaidi, halafu pia uwe na adabu unamzuiaje mtu kuchangia hoja zake kuna vijamaa mna akili za kitoto kweli
Weka picha tuoneNadharia ninafanya Gym Workout toka Form Two unaniambia naongea nadharia navyoandika nina Home Gym sema nimeStay kwa muda mrefu kwasababu mblimbali.
Nakuandikia kilichopo
Fanya hivi Chukua ndugu wawili Identical Twins waliofanna kilakitu hasa Body weight na posture mmoja mpeleke afanye Free Weight Na mmoja Body Weight then waangalie baada ya mwezi mmoja au miwili utakuja kuniambia.
Sema mimi mwenyewe napendaga kucheza sana push up ,lakin nikijisikia kujaza mwili kidogo na kuukata naingiaga gym kama wiki 2 tu ivi nakuwa kama nilivotaka, chuma ukiijulia sio ya kufananisha na vitu vya kijingaUna experience yoyote ya mazoezi Mkuu ni vyema ujifunze kitu ndio uchangie mada, Chest Workout kwenye Free Weight kuna Mitindo ya kupiga 50+ kuna position za Banch 50+ kuna Weight tape 50+ kuna weight position 50+ then from no where unakuja kusema push-up inapasua kifua What hell a you write here.
Kuna position za kujaza kifua, kutanua, kupasua nk is Push-up kuna yote hayo
Vitu unavyofananisha ni sawa na Mkoa na Bala, Push-up(Dodoma) Free Weight(EUROPE)...Guys tutafute maarifa duniani.
Bodybuilders, Models, Bodyguards nk...vile target yako ni kujenga mwili kivipi unataka most of them ni Free Weight Workout.
Tuvijue vitu ndio tuchangie.
hapa nakupinga pia, hizo free weight zinataka position ili kupata matokeo unayoyataka. Hujawahi kupiga pushups weweee.Una experience yoyote ya mazoezi Mkuu ni vyema ujifunze kitu ndio uchangie mada, Chest Workout kwenye Free Weight kuna Mitindo ya kupiga 50+ kuna position za Banch 50+ kuna Weight tape 50+ kuna weight position 50+ then from no where unakuja kusema push-up inapasua kifua What hell a you write here.
Kuna position za kujaza kifua, kutanua, kupasua nk is Push-up kuna yote hayo
Vitu unavyofananisha ni sawa na Mkoa na Bala, Push-up(Dodoma) Free Weight(EUROPE)...Guys tutafute maarifa duniani.
Bodybuilders, Models, Bodyguards nk...vile target yako ni kujenga mwili kivipi unataka most of them ni Free Weight Workout.
Tuvijue vitu ndio tuchangie.
sasa hapa unaongelea uharaka wa matokeo au nini!? Jibu swali, pushups zinakata kifua au hazi?katiNadharia ninafanya Gym Workout toka Form Two unaniambia naongea nadharia navyoandika nina Home Gym sema nimeStay kwa muda mrefu kwasababu mblimbali.
Nakuandikia kilichopo
Fanya hivi Chukua ndugu wawili Identical Twins waliofanna kilakitu hasa Body weight na posture mmoja mpeleke afanye Free Weight Na mmoja Body Weight then waangalie baada ya mwezi mmoja au miwili utakuja kuniambia.
Yaani wewe Ni Kama Mimi tu aisee nisipopiga tizi huwa najiona mvivu nakua fyongoPush up ni za ziada huwa kila asubuhi napiga 25,usiku 25 jumla 40 squarts huwa ni 50 kuchangamsha.
Nipo timamu akili na mwili nisipopiga huwa sijisikii vizuri kabisa.
Hata Mimi hio ndio navyofanyaga.Push up Ni zoezi zuri...
Anza pale ulipo...halafu Hakikisha unajichalenge mwenyewe kila siku..
Mfano leo ukipiga tano.. kesho piga Saba, keshokutwa 8,
Hakikisha unaizidi Jana...
Utakaa sawa TU...
Mimi nilianza na Saba....
Ila Sasa nakimbiza 50+ mzunguuko mmoja
Mzee wa korokwincho kincho korokwincho[emoji1][emoji115]Wakati niko kwnye peak ya mazoezi mwaka 2009-2013
Nilikuwa napiga push up 350+ ndani ya 45dkika kwa siku
Nilikuwa naendesha baiskeli kutoka mabibo mpaka kibamba kwenda na kurudi mara 2 kwa siku
Now napiga push up 200 tu kwa siku
Nilishindwa kumantain, sababu ya kuwajua wanawake aisee
Mimi nilipokuwa JKT ndio nilijua mwili uko timamu kiasi gani .Nakumbuka wakati niko skonga nilikua mtu wa misala na siku nikitaitishwa adhabu ilikua ni uncounted sticks na kupiga pushups 30 halafu ni mtupu yani nikipiga kumi ulimi wote nje
Basi nikawa natoka darasani naenda chimbo na wanangu kila siku nikawa na-force nalala 20 kwa muda wa mwezi nikawa naweza kupiga 70 bila kupumzika
Una experience yoyote ya mazoezi Mkuu ni vyema ujifunze kitu ndio uchangie mada, Chest Workout kwenye Free Weight kuna Mitindo ya kupiga 50+ kuna position za Banch 50+ kuna Weight tape 50+ kuna weight position 50+ then from no where unakuja kusema push-up inapasua kifua What hell a you write here.
Kuna position za kujaza kifua, kutanua, kupasua nk is Push-up kuna yote hayo
Vitu unavyofananisha ni sawa na Mkoa na Bala, Push-up(Dodoma) Free Weight(EUROPE)...Guys tutafute maarifa duniani.
Bodybuilders, Models, Bodyguards nk...vile target yako ni kujenga mwili kivipi unataka most of them ni Free Weight Workout.
Tuvijue vitu ndio tuchangie.
Mkuu kuwa serious kidogo, matokeo ya kubeba ndoo ya maji wakati wa kwenda wash room ni makubwa ukilinganisha na pushap tano kwa siku[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] We jamaa ni mnafiki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwahiyo push ups tano ni ndogo kweli si bora kuliko kutopiga kabisa inakata na tumbo kidogo
Wakina Ronnie Coleman, Jay Cutter no unawajua hao ma Mr Olimpia wewe sasa ndio mkongwe nilikuwa napoteza energy kwa hawa watoto unafananisha chuma na upuuziUnabishana na mtu ambae hana experience yoyote na gym mkuu. Kama push-ups zinakata kifua basi kina kaigreene wangekua hawaendi gym.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Mkuu kuwa serious kidogo, matokeo ya kubeba ndoo ya maji wakati wa kwenda wash room ni makubwa ukilinganisha na pushap tano kwa siku
Weka kwa kiswahili mm cjaelewa nami nimuumin wa pushup nizjue hizo ainaJump squats nagonga 200-250 na umbo la mapaja limebadilika
Plank nafanya 40 seconds
Buttock brigdes x 30
Abnormal crunches 100
Heel touch 50
Leg raises 50
Bicycles crunches 48
Side planks 20 seconds each side
Side push ups 20 each side
Cobra stretch
Russian twists
Etc
Tuanze kwako Unaweza weka Push-up kwa kiswahiWeka kwa kiswahili mm cjaelewa nami nimuumin wa pushup nizjue hizo aina