Wapenzi wa samaki njooni hapa

Wapenzi wa samaki njooni hapa

Nipo fit huwezi amini. naweza pikia kuni. Ila sipendi niwe na maisha ya kupikia kuni tu. Kwangu natumia gas,mkaa na kuni.
Mkaa upo pia jiko la udongo.. Karibu kwetu maisha ni simpo kwenye upande wa chakula
 
Chewa, kingfish, tuna, tasi --- hao ndio samaki... Chewa kwa supu muweke ndimu nyingi halafu uwe na mechi ya kirafiki..
 
Mi napenda changudoa. Ni rahisi hawana shida sana kuwapata au sijui kuwaandaa...naenda tu mtaani nawapata.
 
Back
Top Bottom