Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Tatizo unaokopa moshi wa kuni..nipeleke kigoma baby
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo unaokopa moshi wa kuni..nipeleke kigoma baby
Kwangu mimi hakuna samaki mtamu kama sato..
Nipo fit huwezi amini. naweza pikia kuni. Ila sipendi niwe na maisha ya kupikia kuni tu. Kwangu natumia gas,mkaa na kuni.Tatizo unaokopa moshi wa kuni..
kolekoleKila mtu aseme anachukua samaki gani hapo....mimi nachukua pweza..tena huyo mkuuubwa...
TUAMBIANE NI AINA GANI YA SAMAKI UNAYRPENDA KUMTUMIA KWA KITOWEO NA MBOGA..View attachment 1238068
Mkaa upo pia jiko la udongo.. Karibu kwetu maisha ni simpo kwenye upande wa chakulaNipo fit huwezi amini. naweza pikia kuni. Ila sipendi niwe na maisha ya kupikia kuni tu. Kwangu natumia gas,mkaa na kuni.
Bas tutaenda usijaliMkaa upo pia jiko la udongo.. Karibu kwetu maisha ni simpo kwenye upande wa chakula
hujui Samaki ww, kuna Samaki watamu, kama mkule, jodari, kolekole, etcChangu mwacheni aitwe changu, samaki yule mtamu bwana hasa apate ndimu
Roho yangu impetua kwa changuhujui Samaki ww, kuna Samaki watamu, kama mkule, jodari, kolekole, etc
Samaki changu bwana, u muoke, umkaange, umpike mchuzi vyote ana fit. Sasa changu na wali wa nazi, kachumbari pembeni mmh.
Umuweke na pilipili na ndimu kabla hujamkaangaNakuunga mkono changu ndio mwisho wa mchezoo
Hao wakubwa hapo wawili ndio Jodari.
Ila kuna hao wengine hapo wakubwa hawaonekani vizuri ndio nawakubali sana.
Bei zako zipoje na ujazo wake kwa kg au fungu? Au vipande? Prawns unao? Kg una uzaje?Weka order yako nikufikishie hadi mlangoni kwa Bei nafuu kabisa,Kama mkazi wa dar
Nishawahi kuwala, bado sato is my favourite.Ukila mgebuka utabadirisha haya maneno
Kibua inaua nguvu za kiume wanapigwa dawaKitu KIBUA