Wapenzi wa Simba, huyu mama CEO kama tutakuwa naye tutalia sana

Morisone alimpiga shabiki wa Yanga kitu chenye ncha kali,baada ya muda Simba wakampa barua ya mapumziko.
Simba awanaga konakona ukizingua unafyatuliwa.
 
Kaka hamia Azam tu kwani Kuna anayekulazimisha kubaki Simba?
 
Umesikia upande mmoja tu wa yule mvuta bangi na aliyosema yote umeyameza kama yalivyo,nilijua ulemavu wako ni wa ngozi tu kumbe hata akili pia.
 
Mawazo huru ni wewe kuhamia unakotaka kwenda.
 
Shame,shame,hata wewe mkuu unashikiwa akili na zeruzeru!!!!
 
Kosa kubwa alilolifanya Morrison ni kuvua kaptula na kubaki na chupi akishangilia ushindi wa Simba.

Nilimsikia Azim Dewji akisema kwa masikitiko sana.
"Huyu mchezaji hana maadili kabisa na sio wa kucheza tena Simba"

Tatizo hata ile chupi ya Morrison haikuwa ya aina ya Boxer.
Ilikuwa aina ya Mpati yaani kama ya Kike.

Na mnajua Azim ni Baba Mdogo wa MO Dewji.

Mlio karibu na Morrison mumwambie hivyo.
Ajue pa kuanzia.
 
CEO BARBRA ni chuma ktk leadership...kwa soka la TZ kazi ngumu sana wenye akili tunaelewa.Hizi taasisi zimezungukwa na wachumba tumbo/ wababaishaji..
Nikimsikilizaga Barbra huwa namuelewa...
Tusi panic kwa matokeo ya YANGA...
SIMBA kama Taasisi inahitaji commited leaders na mipango na nidhamu imara ktk undeshaji na hasa kama unawaza kubwa club kubwa AFRIKA..
Soccer industry kwa TZ imejaa ubabaishaji, Uswahili na weledi mdogo kuanzia ktk association zetu hadi ktk media..ni full ujuaji na frustrations .
Ushauri wa bure kwa MO, ..Kwa kuwa ume- invest fedha zako basi fanya linalokufanya isitokee ktk focus and assurance...
Mfano ni Azam yenye kila kitu kuwa big club.
Out of money unahitaji strong structures ...na kadiri utakavyojaribu kutengeneza ndivyo utapata resistance kubwa....
Acha wanaojiita maarufu wajiiengue ili soka la TZ liendelee kuwa transformed
 
Kumbe ni laana inamsumbua Morrison
 
Wanaume wengine huwa hawajitambui Kama n wanaume
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan ninapochoka huwa unapotema pumba km hizi? Hivi kanuni unazisoma kweli au ndo chupli chupli?

Km Yanga akishinda leo, Ngao ya jamii ni Simba vs Yanga. Ila akishinda Coastal union, ndo ngao itachezwa km leo.

Kuhusu hili la nafas ya 4 simba msimu ujao, tulizana kwan, utakuja ufurahishwee.
 
Kipindi cha mgogoro wa Mkude niliwahi kusikia kama vile huyu alihusikaje sijui lakini nilisikia alikuwa na % zake kwenye huo ugomvi
 
mkuu hayo matusi mbona mazito sana ?

je ni hasira za mada hii tu au umeunganisha na hasira za goli la Feisal CCM Kirumba na kupokonywa makombe yote na Yanga pamoja na hofu ya kupasuliwa tena Ngao ya jamii pale Agosti?

Poleni sana watani zetu maana kwa hasira hizi tukiwa tunatetema tunakeep distance msije kutupiga makonde mazito!!
 
Morison anapangwa na haji manara aongee nini, unategemea haji anaweza msemea mazuri Babra?
 
Kama hujui tulia. Kama unampenda mchukueni kwenye timu yenu ya utopolo. Simba nidhamu kwanza
asavali wewe ni Simba unacomment kwa heshma wengine Simba wenzako ni matusi mazito wanaporomosha tu! Duh kweli mwaka huu Yanga tamu!

Morrison alitoka Yanga ambako hakuwa na balaa anazozushiwa huko Simba na anarudi nyumbani mtamkoma!
Tuanzie na Ngao ya jamii kwanza tuwapasue tena ndo tukaanze tena unbeaten campaign episode 2!!
 
Inshort club ya simba inaendeshwa kike-kike
Ndio maana iliwaharibia mpaka udhamini mwenza kwa sababu wa "kike" wana nguvu kuliko wa " kiume". Ni mwanamke mmoja tu alisimama kuwaangusha wanaume wote wakiwemo wa Yanga na TFF kwenye suala la udhamini na mkaufyata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…