Wapenzi wa Simba, huyu mama CEO kama tutakuwa naye tutalia sana

Morisone alimpiga shabiki wa Yanga kitu chenye ncha kali,baada ya muda Simba wakampa barua ya mapumziko.
Simba awanaga konakona ukizingua unafyatuliwa.
 
Nimesikia interview ya Morrison nimesikitishwa sana hasa baada ya kusikia kuwa huenda huyu mwanamke ana chuki naye.

Lazima ifike mahali tuone hatari ya kiongozi kuleta chuki za kike.
Kama umewahi kuona kiongozi sehemu yoyote akiwa mwanamke,mara nyingi akiwa na msimamo hasi juu yako,huwa habadiliki.Na anaungwa mkono na wanaume wapumbavu.

Kwa club kubwa kama Simba,ni hatari sana kumwachia na kumwamini mtu kama huyu.Kama hakuna uwezekano wa kumuondoa,tuambieni tuachane na hii club tuhamie Azam.Maana kama tutakubali kiongozi analeta fitna kama za siasa kwa wachezaji,tena wenye vipaji,timu hii itapoteza kabisa umaarufu.

Kwa kitendo alichomfanyia Morrison,si kwamba kitamuathiri yeye pekee,kitabakiza mashaka mengi kwa wachezaji wengine,wataishi kwa hofu.
Na mimi nawaambia kwa hali hii,ipo siku club inaweza kushuka daraja.Wachezaji watacheza kinyonge na kutokuwa na morali.

Na niwahakikishie kama kutakuwa na mechi ya ngao ya hisani na huyu mwanamke yupo,safari hii Simba atachezea mvua ya magoli.
Nimegundua ni kwa nini wachezaji wanacheza bila morali.
Hawawezi kusema,lakini kwa machache aliyosema Morrison, kuna shida kubwa na huyu mama.
Kaka hamia Azam tu kwani Kuna anayekulazimisha kubaki Simba?
 
Umesikia upande mmoja tu wa yule mvuta bangi na aliyosema yote umeyameza kama yalivyo,nilijua ulemavu wako ni wa ngozi tu kumbe hata akili pia.
 
Simba haikufika hapo bila sisi mashabiki.

Huamini kuwa kuna watu tunaweza kuwa na mawazo huru?

Kwa vile umejaa ujinga,mimi nakuambia ni suala la muda tu.Watu kama wewe ni kama wanawake wanaokwenda kuolewa na mtu mwenye pesa wakijizuia kufikiri ili wasipate akili ya kumkataa mwanaume hata kama ni muuaji
Mawazo huru ni wewe kuhamia unakotaka kwenda.
 
Msimu ujao timu yako ya simba haitacheza mchezo wa Ngao ya Jamii. Maana haina sifa.

Watakaocheza huo mchezo ni Mabingwa wa Ligi kuu na ASFC msimu huu, Yanga! Dhidi ya mshindi wa pili wa ASFC, Coastal Union.

By the way, msimu ujao uitarajie timu yako ya simba kushika nafasi ya 3 au ya 4 huko! Azam fc ana uhakika wa 100% kushika nafasi ya 2, huku Wananchi wakiendelea kuwa mabingwa kwa mara nyingine tena.
Shame,shame,hata wewe mkuu unashikiwa akili na zeruzeru!!!!
 
Kosa kubwa alilolifanya Morrison ni kuvua kaptula na kubaki na chupi akishangilia ushindi wa Simba.

Nilimsikia Azim Dewji akisema kwa masikitiko sana.
"Huyu mchezaji hana maadili kabisa na sio wa kucheza tena Simba"

Tatizo hata ile chupi ya Morrison haikuwa ya aina ya Boxer.
Ilikuwa aina ya Mpati yaani kama ya Kike.

Na mnajua Azim ni Baba Mdogo wa MO Dewji.

Mlio karibu na Morrison mumwambie hivyo.
Ajue pa kuanzia.
 
CEO BARBRA ni chuma ktk leadership...kwa soka la TZ kazi ngumu sana wenye akili tunaelewa.Hizi taasisi zimezungukwa na wachumba tumbo/ wababaishaji..
Nikimsikilizaga Barbra huwa namuelewa...
Tusi panic kwa matokeo ya YANGA...
SIMBA kama Taasisi inahitaji commited leaders na mipango na nidhamu imara ktk undeshaji na hasa kama unawaza kubwa club kubwa AFRIKA..
Soccer industry kwa TZ imejaa ubabaishaji, Uswahili na weledi mdogo kuanzia ktk association zetu hadi ktk media..ni full ujuaji na frustrations .
Ushauri wa bure kwa MO, ..Kwa kuwa ume- invest fedha zako basi fanya linalokufanya isitokee ktk focus and assurance...
Mfano ni Azam yenye kila kitu kuwa big club.
Out of money unahitaji strong structures ...na kadiri utakavyojaribu kutengeneza ndivyo utapata resistance kubwa....
Acha wanaojiita maarufu wajiiengue ili soka la TZ liendelee kuwa transformed
 
Kosa kubwa alilolifanya Morrison ni kuvua kaptula na kubaki na chupi akishangilia ushindi wa Simba.

Nilimsikia Azim Dewji akisema kwa masikitiko sana.
"Huyu mchezaji hana maadili kabisa na sio wa kucheza tena Simba"

Tatizo hata ile chupi ya Morrison haikuwa ya aina ya Boxer.
Ilikuwa aina ya Mpati yaani kama ya Kike.

Na mnajua Azim ni Baba Mdogo wa MO Dewji.

Mlio karibu na Morrison mumwambie hivyo.
Ajue pa kuanzia.
Kumbe ni laana inamsumbua Morrison
 
Unachangia sh ngapi pale Simba Sc kwa mwezi??

Umewekeza sh ngapi pale Simba Sc kiasi kwamba unapata hasara??

Huyo Barbara umemwajiri wewe kiasi kwamba unataka umbadirishe/umfukuze??
Unamlipa wewe??

Kama majibu ya maswali hayo yote ni NO!! basi tuliza matako!!

Mtoto wa kiume uje uinamishwe ushikishwe ukuta umwagiwe ndani bure!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Msimu ujao timu yako ya simba haitacheza mchezo wa Ngao ya Jamii. Maana haina sifa.

Watakaocheza huo mchezo ni Mabingwa wa Ligi kuu na ASFC msimu huu, Yanga! Dhidi ya mshindi wa pili wa ASFC, Coastal Union.

By the way, msimu ujao uitarajie timu yako ya simba kushika nafasi ya 3 au ya 4 huko! Azam fc ana uhakika wa 100% kushika nafasi ya 2, huku Wananchi wakiendelea kuwa mabingwa kwa mara nyingine tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan ninapochoka huwa unapotema pumba km hizi? Hivi kanuni unazisoma kweli au ndo chupli chupli?

Km Yanga akishinda leo, Ngao ya jamii ni Simba vs Yanga. Ila akishinda Coastal union, ndo ngao itachezwa km leo.

Kuhusu hili la nafas ya 4 simba msimu ujao, tulizana kwan, utakuja ufurahishwee.
 
Nimesikia interview ya Morrison nimesikitishwa sana hasa baada ya kusikia kuwa huenda huyu mwanamke ana chuki naye.

Lazima ifike mahali tuone hatari ya kiongozi kuleta chuki za kike.
Kama umewahi kuona kiongozi sehemu yoyote akiwa mwanamke,mara nyingi akiwa na msimamo hasi juu yako,huwa habadiliki.Na anaungwa mkono na wanaume wapumbavu.

Kwa club kubwa kama Simba,ni hatari sana kumwachia na kumwamini mtu kama huyu.Kama hakuna uwezekano wa kumuondoa,tuambieni tuachane na hii club tuhamie Azam.Maana kama tutakubali kiongozi analeta fitna kama za siasa kwa wachezaji,tena wenye vipaji,timu hii itapoteza kabisa umaarufu.

Kwa kitendo alichomfanyia Morrison,si kwamba kitamuathiri yeye pekee,kitabakiza mashaka mengi kwa wachezaji wengine,wataishi kwa hofu.
Na mimi nawaambia kwa hali hii,ipo siku club inaweza kushuka daraja.Wachezaji watacheza kinyonge na kutokuwa na morali.

Na niwahakikishie kama kutakuwa na mechi ya ngao ya hisani na huyu mwanamke yupo,safari hii Simba atachezea mvua ya magoli.
Nimegundua ni kwa nini wachezaji wanacheza bila morali.
Hawawezi kusema,lakini kwa machache aliyosema Morrison, kuna shida kubwa na huyu mama.
Kipindi cha mgogoro wa Mkude niliwahi kusikia kama vile huyu alihusikaje sijui lakini nilisikia alikuwa na % zake kwenye huo ugomvi
 
Unachangia sh ngapi pale Simba Sc kwa mwezi??

Umewekeza sh ngapi pale Simba Sc kiasi kwamba unapata hasara??

Huyo Barbara umemwajiri wewe kiasi kwamba unataka umbadirishe/umfukuze??
Unamlipa wewe??

Kama majibu ya maswali hayo yote ni NO!! basi tuliza matako!!

Mtoto wa kiume uje uinamishwe ushikishwe ukuta umwagiwe ndani bure!
mkuu hayo matusi mbona mazito sana ?

je ni hasira za mada hii tu au umeunganisha na hasira za goli la Feisal CCM Kirumba na kupokonywa makombe yote na Yanga pamoja na hofu ya kupasuliwa tena Ngao ya jamii pale Agosti?

Poleni sana watani zetu maana kwa hasira hizi tukiwa tunatetema tunakeep distance msije kutupiga makonde mazito!!
 
Kwa vile hujawahi kuongoza hata kikundi cha kuchamba ingawa unaonekana mchambaji wa kichaga,hutajua kuwa kwenye kila kamati huwa kuna mtu anatokea na kuwa na ushawishi wa kulazimisha anachotaka yeye ndiyo kikubalike.
Nilitaka nikueleze kidogo ila sioni kama akili yako inatosha kuelewa
Morison anapangwa na haji manara aongee nini, unategemea haji anaweza msemea mazuri Babra?
 
Kama hujui tulia. Kama unampenda mchukueni kwenye timu yenu ya utopolo. Simba nidhamu kwanza
asavali wewe ni Simba unacomment kwa heshma wengine Simba wenzako ni matusi mazito wanaporomosha tu! Duh kweli mwaka huu Yanga tamu!

Morrison alitoka Yanga ambako hakuwa na balaa anazozushiwa huko Simba na anarudi nyumbani mtamkoma!
Tuanzie na Ngao ya jamii kwanza tuwapasue tena ndo tukaanze tena unbeaten campaign episode 2!!
 
Inshort club ya simba inaendeshwa kike-kike
Ndio maana iliwaharibia mpaka udhamini mwenza kwa sababu wa "kike" wana nguvu kuliko wa " kiume". Ni mwanamke mmoja tu alisimama kuwaangusha wanaume wote wakiwemo wa Yanga na TFF kwenye suala la udhamini na mkaufyata.
 
Back
Top Bottom