Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
wee mbona fransisco kazi anayo, naomba sana asipewe zile hela yan na ninaona kuna kila dalili ya kuzikosa vipi kuhush roxana na antonio walifika mahakamani?Network hajapatika, Fabiola kang'atwa na ng'e wametafuta guest kwenda kulala huko tusubiri leo itakuwaje?
Na kama jana walilala Fabiola na Ramon huyo Fansico kazi anayo, alafu yule jamaa tapeli uncle wa akina Fabiola sijui ana ishu gani kule kwa watawa maana sista kapiga kasema kuna kuna mtoto anakata roho huko.wee mbona fransisco kazi anayo, naomba sana asipewe zile hela yan na ninaona kuna kila dalili ya kuzikosa vipi kuhush roxana na antonio walifika mahakamani?
yule ni mwanae wa kumzaa, yule horhe walimuadapt ndio naangalia hapa, frasisco hawez kuishia na fabiola mana yupo naye sababu ya pesa zakeNa kama jana walilala Fabiola na Ramon huyo Fansico kazi anayo, alafu yule jamaa tapeli uncle wa akina Fabiola sijui ana ishu gani kule kwa watawa maana sista kapiga kasema kuna kuna mtoto anakata roho huko.
hua unaifuatilia?? hii kitu ni fire, nacheka na penzi la mr hulyo na huannah watu wazima kama watoto japo nataman huanna aishie na mr pedroIle itafaa watu wa jamii forum Haina utoto utoto karibuni kucheck...
Walitembea kwa miguu mpaka mji wa jirani.Njiani Fabiola aliumwa na nge akapelekwa kwa dokta.Mtu ambaye angewasaidia kununua mafuta na kuwapeleka kwenye gari Yao hakuwepo ilibidi watafute Lodge walale,chumba kilichobaki ni kimoja.Ramon na Fabiola walilala pamoja,nafikiri waliduu.Asubuhi waliporudishwa kwenye gari Yao baada ya kupata mafuta,Ramon alitaka Fabiola kwamba waendelea kuwa wapenzi vinginevyo hapandi kwenye gari;Fabiola alikataa alisema yeye Bado yupo na Fransisco kwa hiyo akaondoka na gari na kumuacha Ramon.Ndipo ilivyoishia!vipi walipata signal na kufanikiwa kurudi mjini?
Hii ni kupotezeana muda.Mtu unaweza wahi nyumbani ili kufuatilia tamthilia matokeo yake unakuta kimerudiwa kitu cha wiki iliyopita😡Kama kawaida ITV wameendelea kurudia episode... Wiki hii wanarudia tena episode ya wiki iliyopita!
Tabia hi naona imeshaota mizizi happy ITV.
Wanakera sana.
wapuuzi itv wanairudia rudia, mimi kitu pekee sitaki kukishuhudia ni huannah akidate na hulio, sofia kashindwa ku move on kabisa,Kazi ipo kwa Sophia.... Pamoja na kumtega Ramon kwa kuanzisha naye gereji, mawazo ya Ramon bado yapo kwa Fabiola...
Mbaya zaidi wametenda tena tendo hili huku Fabiola akiwa keshaolewa! Na kurudisha hisia kali za mapenzi ya Ramon kwa Fabiola.
Sophia baada ya kupata udaku anaona wazi jinsi anavyoshindwa kumpata tena Ramon kimapenzi.
Maswali ni mengi juu ya mzunguko huu was mapenzi...
Jumatatu jioni tutaanza kupata picha na uelekeo wa tamthilia hii.
Kama una nafasi leo asubuhi Kuna marudio ya wiki nzima.
yaani ninachukiaHii ni kupotezeana muda.Mtu unaweza wahi nyumbani ili kufuatilia tamthilia matokeo yake unakuta kimerudiwa kitu cha wiki iliyopita😡
labda walikua wanahisi haina wafuatiliajKama kawaida ITV wameendelea kurudia episode... Wiki hii wanarudia tena episode ya wiki iliyopita!
Tabia hi naona imeshaota mizizi happyo ITV.
Wanakera sana.
Yup! Hulia yupo after money tu! 😎wapuuzi itv wanairudia rudia, mimi kitu pekee sitaki kukishuhudia ni huannah akidate na hulio, sofia kashindwa ku move on kabisa,
baba ananikera yule bora hata mr pedroYup! Hulia yupo after money tu! 😎
Kwanza pole kwa ban, karibu Tena! Mdada yule anamwona Mr Pedro kavuta maili nyingi.... even though Mr Pedro Ana mapenzi ya dhati juu yake.baba ananikera yule bora hata mr pedro