Wapenzi wa tamthilia ya “In Love With Ramon” mpo?

Wapenzi wa tamthilia ya “In Love With Ramon” mpo?

Aseh itv kiboko sio kwa kukata huko hawakuonyesha hata ndoa ya magarita na antonio
 
Aseh itv kiboko sio kwa kukata huko hawakuonyesha hata ndoa ya magarita na antonio

Nakumbuka kama walionyesha mkuu ni kama ya wiki Ile iliyopita

Ngoja tusubiri chuma kingine Hawa wa mexico ni wakuwazingatia wako vizuri
 
hatimaye tumemaliza mwendo japo nilitaman iendelee nione hatma ya sophia, andrea na horhe, huanna na pedro,dalia na valente hatari sana
 
Imeisha kiaina ilikuwa inanifanya niwahi nyumbani kidogo! Kuanzia kesho kuja nyumbani ni Kuanzia saa tatu
 
Back
Top Bottom