Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,971
- 13,608
Fabiola Medina.anatoroshwa na Ramon Lopez,toka kwa mumewe, Fransisco,kwenda mbali na mji maeneo ambapo wapo mdogo wake,Andrea Medina na mpenzi binamu,Jorge Medina.Mumewe,Fransisco anapeleleza mpaka kufahamu chaka lao na kwenda kuripoti polisi.Kumbuka, Fransisco anamtishia kumshtaki Fabiola kwa kosa la uzinzi.adhabu yake Kufungwa Jela.
Ramon Lopez anakwenda kutafuta msaada wa kisheria,kwa dada yake Fabiola, Margarita Medina,ambapo anamkuta akiwa na mwanasheria mwingine.
Baada ya Ramon kuwaelezea wanaona ni ngoma ngumu Kwa Fabiola,na kutaka kuwahi kumshtaki Fransisco, Kwa kosa la domestic abuse,kabla ya Fransisco hajashtaki.Kabla ya kufika Kwa Fabiola,wanapigiwa simu na Andrea, kwamba,Fransisco amewawahi kwenda na polisi na kumkamata Fabiola.
Mama yake Ramon,Juana Lopez,anafurahi kusikia,mimba ya Fabiola ni ya Ramón pamoja na kuwa kwenye changamoto wanayopitia.
Fransisco anavamiwa na mmoja wa wahuni aliowahi kuwapa kazi huko nyuma,ya kumteka Ramon,na hakukamilisha malipo.Mhuni anampiga Fransisco na kumuacha mahututi.
Baada ya wanasheria kujadiliana kuhusu kesi inayomkabili Fabiola,wanaona,njia pekee ya Fabiola kuepuka Kifungo ni kwa Fransisco kuDrop charges .Ramon anaamua kwenda nyumbani kwa Fransisco anamkuta na Hali mbaya, Wakati anajaribu kumsaidia,kumbe majirani walishapiga simu Polisi.Kinachofuata ni kuangukiwa na jumba bovu ,kukamatwa na polisi kama main -suspect.
Mambo yanaendelea kuwa magumu kwa Fabiola,anahamishwa toka mahabusu kwenda jela ya wanawake.Mtu pekee anayeweza kuwachomoa Fabiola na mpenzi wake, Ramón wasifungwe ni Fransisco.
...
To be continued.....