Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,468
- 2,349
Susan aliamua kuondoka kwa mama yake baada ya kugundua kuwa mama yake anatembea na boyfriend wake. Hivyo akaamua kurudi kwa baba yake aishie USA.Naombeni kuuliza hivi Yule Susana na mama aka waliishia wap?
Mama yake aliendelea na mapenzi na boyfriend wa Susan huku akiwa na uhusiano usio rasmi na baba wa kibeni ten chake.
Uhusiano wao ukaja kuzaa mapenzi na siku moja Mama huyo akajikuta anagonganisha magari... Baba mtu na mtoto wake...
Tokea tukio hilo litokee Mmama huyo hajaonyeshwa Tena! Lilikuwa vumanizi la aibu! Aliyeshinda ni mtoto na ni baada ya kuanza kumblacmail babake.