Wapenzi wa tamthilia ya “In Love With Ramon” mpo?

Kivumbi Leo "
Wiki iliyoisha Ramon alituma kimemo Kwa Fabiola waonane somewhere Sasa Kuna mkuda yule binamu yake mtoto wa Hurio yule dogo Marioo kakisoma kampelekea Fransisco ,i Fransisco kafula kwel kweli
Mojakwa Moja kaenda ofisin kamkuta Fabiola anatest kipimo kuchek ujauzito wake aiseee Fransisco kamaindi sijui itakuwaje kesho 🤔

Na huku Sophia kaomba appointment kuonana na Mzee wake jela mpango wake anataka kuomba msaada kwaBaba yake ili kumpata Ramon ,
Yule Maza Roksana kesi imekuaa ngumu anaweza kupigwa fain hela ndefu sana ,
Bibi mnoko fahamu zimemrudia anamwambia mwanae Margarita kuhusu Nesi kuwa hafai lakin margarita haelewi kabisa sijui itakuwaje kesho.,..
Leo nilikuwa busy na mechi ya Yanga kapiga mtu mkono.
Yule Andrea na mpenzi binamu wanaendeleaje? Mara ya mwisho,jana, walikuwa wakiuza machungwa baada ya fedha za kuzuwiwa na Juana(Mama Yake Ramón),kisa wanapendana ndugu, first degree cousins 🤔
 
Yule Andrea na mpenzi binamu wanaendeleaje? Mara ya mwisho,jana, ia hviwalikuwa wakiuza machungwa kwenye supermarkets.
Jana walipeawa order walete box kadhaa za macchungwa Leo wamefanikisha kuziuza sema Kuna mwamba kaja kuwazengua kuwa hairuhusiwi kuuza pasipo kibali

Sema jamaa anaonekana kama tapeli anataka kuwapiga hela ni hvyo mkuu
 
Leo nilikuwa busy na mechi ya Yanga kapiga mtu mkono.
Yule Andrea na mpenzi binamu wanaendeleaje? Mara ya mwisho,jana, walikuwa wakiuza machungwa baada ya fedha za kuzuwiwa na Juana(Mama Yake Ramón),kisa wanapendana ndugu, first degree cousins 🤔
they aint cousins at all, horhe ni mtoto wa kuasili hulyo na marehem mkewe walimu adopt sasa ukoo mzima unajua ni cousins
 
kwa
Hawajakutana lkn Ramon Kuna yule Mzee abaefanya kaz pale gereji ndio alimpa kikaratas ampelekee Fabiola ofisin Sasa Fabiola hakuwepo ikabidi akiache ofisin Sasa yule dogo Sarvado akakiona akasoma ndio akampelekea Fransisco
hio hii mimba ni ya fransisco baada ya kumbaka? stupid gal
 
Asante maana Jana nilikua mbali na itv
Itv wanaletaga tamthilia nzuri sana Kuna Ile iliitwaga shades of the sin mwaka 2010 ilikuaga ni moto
Tatizo wanaweza kurudia wiki mbili mfululizo

Kivumbi Leo "
Wiki iliyoisha Ramon alituma kimemo Kwa Fabiola waonane somewhere Sasa Kuna mkuda yule binamu yake mtoto wa Hurio yule dogo Marioo kakisoma kampelekea Fransisco ,i Fransisco kafula kwel kweli
Mojakwa Moja kaenda ofisin kamkuta Fabiola anatest kipimo kuchek ujauzito wake aiseee Fransisco kamaindi sijui itakuwaje kesho 🤔

Na huku Sophia kaomba appointment kuonana na Mzee wake jela mpango wake anataka kuomba msaada kwaBaba yake ili kumpata Ramon ,
Yule Maza Roksana kesi imekuaa ngumu anaweza kupigwa fain hela ndefu sana ,
Bibi mnoko fahamu zimemrudia anamwambia mwanae Margarita kuhusu Nesi kuwa hafai lakin margarita haelewi kabisa sijui itakuwaje kesho.,..
 
WAle
Leo nilikuwa busy na mechi ya Yanga kapiga mtu mkono.
Yule Andrea na mpenzi binamu wanaendeleaje? Mara ya mwisho,jana, walikuwa wakiuza machungwa baada ya fedha za kuzuwiwa na Juana(Mama Yake Ramón),kisa wanapendana ndugu, first degree cousins 🤔
Sio ndugu hohe ni adopted son wa Mr hulio ndio maana bond Yao imeshibana na andre
 
Asante maana Jana nilikua mbali na itv
Itv wanaletaga tamthilia nzuri sana Kuna Ile iliitwaga shades of the sin mwaka 2010 ilikuaga ni moto
Tatizo wanaweza kurudia wiki mbili mfululizo
kunae moya inaitwa i plead guilty ni hatari ndio ikaja hii
 
Back
Top Bottom