Wapenzi wa tamthilia ya “In Love With Ramon” mpo?

Fabiola ndiyo naye kayakanyaga kwa Francisco,amebananishwa hadi ameamua kuifuta kesi ya kuomba talaka na alivyo mjinga ameambiwa asiseme chochote na arudi kwa mumewe na apige kimya tu.
 
Hivi ramon na sophia si walikua na mahusiano? imekuaje wameachana tena? alafu ramon anajipa matumaini tena kwa Fabi🤔 inakuaje apo wadau
 
baba yake sofia alituma watu wfatilie kina sofia na ramon ikibidi wamuulie mbali ramon sasa ramon alitoka huku nyuma mmoja wa vijana wa baba yake sofia wakaonana nasofia ikabidi waingie makubaliano ramon aachwe hai yeye atafuatana naye had kwa baba yake na wadanganye ramon amekufa atamlipa jamaa pesa ndef sasa wakat wanaondoka wakakutana na ramon ikabidi sofia amkatae ramon mbele ya jamaa wa baba yake kwa kejeli, ramon akalia sana ikbidi afanye namna aende kwa mama yake nabsofia akasepa na jamaa wa baba yake,sasa fabi alikutana na ramon akiwa na fransisco ikabidi dokta aachwe mapenz na ramon yakaendelea aliposhindwa kutokea kwenye ndoa yao na fabi i mean ramon na fabi ndio bi shost kubadili upepo sabab fransisco alitumia huo mwanya ampate fabi huku nyuma ya pazia yeye ndio mhusika wa utekaji wa ramon na sofia ndio ikawa hayo unayoyaona
 
Ramon ana kismet mademu wakali wakali wanajipeleka sana kwake naye harembi anawabutua kizenji
 
baba yake sofia alituma watu wfatilie kina sofia na ramon ikibidi wamuulie mbali ramon sasa ramon alitoka huku nyuma mmoja wa vijana wa baba yake sofia wakaonana nasofia ikabidi waingie makubaliano ramon aachwe hai yeye atafuatana naye had kwa baba yake na wadanganye ramon amekufa atamlipa jamaa pesa ndef sasa wakat wanaondoka wakakutana na ramon ikabidi sofia amkatae ramon mbele ya jamaa wa baba yake kwa kejeli, ramon akalia sana ikbidi afanye namna aende kwa mama yake nabsofia akasepa na jamaa wa baba yake,sasa fabi alikutana na ramon akiwa na fransisco ikabidi dokta aachwe mapenz na ramon yakaendelea aliposhindwa kutokea kwenye ndoa yao na fabi i mean ramon na fabi ndio bi shost kubadili upepo sabab fransisco alitumia huo mwanya ampate fabi huku nyuma ya pazia yeye ndio mhusika wa utekaji wa ramon na sofia ndio ikawa hayo unayoyaona
onhooo nilizani ramon na sofia walikuja rudiana kwa mara ya pili
 
nani tena kaliwa kimasihara
Kuna yule mteja anataka kuleta gari yake ifanyiwe service na Ramon yaelekea amekolea sana kwa Ramon na kwa vile sasa hivi jamaa yuko so lonely sidhani kama ataremba kwani demu ni mkali na mawe anayo. Jamaa anapendwa na mademu wakali tena wenye fedha.
 
hii wiki sjaiangalia kwa kituo kabisa maybe next week, hata leo marudio sijaangalia
 
Mimi hapa nipo upande wa Fransisco, Fabiola amenichefua sana kwenda kuzini na Ramon mpaka kubebeshwa mimba😡
Yule Bibie aliamua kuwa na Fransisco ili tuu kupooza maumivu sababu ndoa yake na Ramon ilishindikana
Lakin kiuhalisia yule Bibie alkuwa hampendi hata kidogo Fransisco ndio hayo yaliyotokea 🤔
 
Sasa apambane na hali yake huko mahabusu.Kulingana na Mwanasheria wake,Margaritta Medina,Kesi imemkalia vibaya Fabiola ,ponapona yaKe kwenda jela ni kwa Fransiisco kufuta kesi.Fabiola badala ya kuwa mpole kwa Fransisco,yeye kwanza ndio anaonyesha kiburi,anamwambia Fransisco," I hate you" 😂
 
Duuhhh sijaitazama Jana itabidi nitafute muda kesho nitizame marudio
 
Back
Top Bottom