Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
- Thread starter
- #21
asante, kuna mjinga alinisababishia kifungo nikaona hata nikimpuuza nafsi yangu inanisuta wakat uwezo wa kumjibu nilikua naoKwanza pole kwa ban, karibu Tena! Mdada yule anamwona Mr Pedro kavuta maili nyingi.... even though Mr Pedro Ana mapenzi ya dhati juu yake.
Looking forward kuona jinsi Roxanna anavyogeuzwa kuwa changudoa next week!
Sophia naye ana wakati mgumu Sasa.
roxana atakuja kukumbuka shuka too late sana labda wakat huo antonio atakua ashamuoa mtoto margaritha madina japo kuna yule mwanasheria naye hachoki
hivi hucheki ukimuona benito na yule mam yake dallya mapenzi yao?? this week itakua ni fayaa huku asvaldo naye anaanza kua mraibu wa macasino wapi fransisco sipat picha akijua fabiola alikwama na hasim wake ramon ila atajitia kutulia sababu hela hajazishika