Sio tu ukiwa na kiu mkuu, hata ukiwa unakula kitu kama nyama choma, ndizi au vyakula vingine vikavu na pilipili kwa mbali halafu ushushe na coke baridi aiseee daah...πCoca-Cola iko poa sana ukiwa na kiu kali, yaani mdomo ukiwa mkavu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Utajiona kama unatoka kwenye gereza aiseeSio tu ukiwa na kiu mkuu, hata ukiwa unakula kitu kama nyama choma, ndizi au vyakula vingine vikavu na pilipili kwa mbali halafu ushushe na coke baridi aiseee daah...[emoji39]
Hiyo huwa ni nzito hadi inakabaMaaza
Kitoko ni nini mkuu..?πππ