Wapenzi wa Vinywaji baridi Visivyo na Kilevi tukutane hapa

Wapenzi wa Vinywaji baridi Visivyo na Kilevi tukutane hapa

Kwa wale wenzangu na mie ambao siku haiwezi kupita hasa kipindi hiki cha joto bila kushusha kinywaji baridiii hebu tukutane hapa tupeane mikakati na mbinu za kuendelea ku enjoy hiki kinywaji.

Wenzetu wanywa bia na vinywaji vikali hebu mtupishe kwanza......
View attachment 1724795
My Favorite Daily Drinks.

Note: Situmii vinywaji vyeusi walasiwezi kununua ( Labda mtu aninunulie na kusiwe na altenative )
1615668101917.png
1615668055455.png

1615668145389.png

1615668342246.png
 
Back
Top Bottom