Wapenzi wa Vinywaji baridi Visivyo na Kilevi tukutane hapa

Wapenzi wa Vinywaji baridi Visivyo na Kilevi tukutane hapa

Kwa wale wenzangu na mie ambao siku haiwezi kupita hasa kipindi hiki cha joto bila kushusha kinywaji baridiii hebu tukutane hapa tupeane mikakati na mbinu za kuendelea ku enjoy hiki kinywaji.

Wenzetu wanywa bia na vinywaji vikali hebu mtupishe kwanza.

View attachment 1724795
Wapi mirinda nyeusi.Inapendwa sana na my wife hiyo mpaka na mimi nikiiona mirinda nyeusi pahala namkumbuka mke wangu.

tunapeanaga tadhari tuu kuwa "anything excessful is harmful"
 
Hakunaga kama Coca aisee. Pespsi wakasome.
fikiria Upya
egrah_kamugisha-20210314-0001.jpg
 
Back
Top Bottom