Wapenzi wa Vinywaji baridi Visivyo na Kilevi tukutane hapa

Hivi hakuna wine[emoji485] ambayo haina kilevi natamani kuchapa hii kituu
Jaribu Altar wine. Sielewagi ni haina kilevi au vipi maana haijaandikwa chochote.
 
Wapi mirinda nyeusi.Inapendwa sana na my wife hiyo mpaka na mimi nikiiona mirinda nyeusi pahala namkumbuka mke wangu.

tunapeanaga tadhari tuu kuwa "anything excessful is harmful"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…