Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Hapo kwenye strangers umemaliza,mimi na enjoy kabisa kuongea na JF strangers kuliko hata Hao watu ninao waona kwa macho,mfano Niko zangu oficn watu wanapigapiga story zao mie huyoo najikata kwa strangers wangu nacheka maisha poa kabisaaa..Mkuu, uzuri/ubaya ni kuwa hata wanaokutana sehemu zingine wanaumizana kama kawaida tu. Sioni kama ahueni ipo kwa wanaokutana sehemu zingine.
Mambo yanaenda kasi sana, wewe mwenyewe utotoni/ujanani hukuwa unatumia mda mwingi kuongea na watu usiowajua, leo hii unaweza kaa online for hours unachat na strangers(including jf strangers). Basi kama ni hivyo hata hizi virtual convos hapa tusizioe kipaumbele, twende vijiweni tupige soga huko.
Let's roll with time wakuu!