Wapenzi wakukutana mitandaoni

Wapenzi wakukutana mitandaoni

Mkuu, uzuri/ubaya ni kuwa hata wanaokutana sehemu zingine wanaumizana kama kawaida tu. Sioni kama ahueni ipo kwa wanaokutana sehemu zingine.

Mambo yanaenda kasi sana, wewe mwenyewe utotoni/ujanani hukuwa unatumia mda mwingi kuongea na watu usiowajua, leo hii unaweza kaa online for hours unachat na strangers(including jf strangers). Basi kama ni hivyo hata hizi virtual convos hapa tusizioe kipaumbele, twende vijiweni tupige soga huko.

Let's roll with time wakuu!
Hapo kwenye strangers umemaliza,mimi na enjoy kabisa kuongea na JF strangers kuliko hata Hao watu ninao waona kwa macho,mfano Niko zangu oficn watu wanapigapiga story zao mie huyoo najikata kwa strangers wangu nacheka maisha poa kabisaaa..
 
Maisha hayatabiriki mleta mada... unaeza pata mwimba kwaya kanisani akakupiga matukio mpaka ukanyooka!..... picha linaanza kala kwaya nzima.
 
Yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa 🪛🪛🪛🪛🪛🪛🪛! Me too nyoko zako hahahahhahahaha sio kwa sindano hiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]![emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Wanasema you hit the snake on the Head lol!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12][emoji12]!!
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Acha tu wizo me too amechoma mulemuleeee hahahaha!!!!
unasikia tu kwa mbali yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!🤣🤣🤣🤣😜🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️
 
Acha tu wizo me too amechoma mulemuleeee hahahaha!!!!
unasikia tu kwa mbali yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1]loooih
 
Hapo kwenye strangers umemaliza,mimi na enjoy kabisa kuongea na JF strangers kuliko hata Hao watu ninao waona kwa macho,mfano Niko zangu oficn watu wanapigapiga story zao mie huyoo najikata kwa strangers wangu nacheka maisha poa kabisaaa..
😄watu mnakuwa introvert ghafla
 
Yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa 🪛🪛🪛🪛🪛🪛🪛! Me too nyoko zako hahahahhahahaha sio kwa sindano hiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]![emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Wanasema your hit the snake on the Head lol!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12][emoji12]!!
daadecq 😄😄 ndo maisha tuliyo nayo
 
Hayanaga muongozo NHihihihihihi!![emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
😄😄wanasema ukianza kuona mwongozo ujue muzena ileee.
 
Yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa 🪛🪛🪛🪛🪛🪛🪛! Me too nyoko zako hahahahhahahaha sio kwa sindano hiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]![emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Wanasema you hit the snake on the Head lol!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12][emoji12]!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom