XII Tz
JF-Expert Member
- Aug 16, 2020
- 4,345
- 7,076
Andika tena ufute ..Nimeandika nikafuta.![emoji276]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andika tena ufute ..Nimeandika nikafuta.![emoji276]
Nashika msimamo wako nikiwa field ofisi ya kampuni moja kubwaVijana wa kiume acheni “ kukomiti” mapema..
Hao agemates na classmates wenu watawazeekea and muone mmeweka ndani wazee...
Pili usioe mtu anaekujua from zero “respect” huwa hawana...and huwa hawataki “ ugrow “ kuwa Mtu mwingine utatupiwa vijembe vijembe mdogo mdogo
Kumbuka nabii hakubaliki nyumbani kwao kwa sababu wanamjua since utotoni.
Chuoni usidate, hit and run
Wa kuweka ndani watakuja tu na watakuwepo tuu ila asiwe Mtu anaekujua since day one