Vijana wa kiume acheni “ kukomiti” mapema..
Hao agemates na classmates wenu watawazeekea and muone mmeweka ndani wazee...
Pili usioe mtu anaekujua from zero “respect” huwa hawana...and huwa hawataki “ ugrow “ kuwa Mtu mwingine utatupiwa vijembe vijembe mdogo mdogo
Kumbuka nabii hakubaliki nyumbani kwao kwa sababu wanamjua since utotoni.
Chuoni usidate, hit and run
Wa kuweka ndani watakuja tu na watakuwepo tuu ila asiwe Mtu anaekujua since day one