Hoja za Prof Shivji kujibiwa na Mwijaku na Baba Levo ilipaswa iwe ni uhujumu elimuProf Shivji ni kichwa tangu zamani halafu mafala ya CCM yanakuja kumbagaza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja za Prof Shivji kujibiwa na Mwijaku na Baba Levo ilipaswa iwe ni uhujumu elimuProf Shivji ni kichwa tangu zamani halafu mafala ya CCM yanakuja kumbagaza.
Hili ni kosa letu, tulipaswa kuandaa succession plan.Upo vizuri Mkuu
ila Warithi wa Taaluma yenu ni fedheha sana kwenu maana wamekuwa wa hovyo hovyo sana …sioni mtu wa kuwarithi Wewe, kina Ulimwengu, Mbwambo, Absalom Majid, Tegambwage, Salva n.k
Mimi, niko very open on everything, the good, the bad and the ugly I did during foolish age!, naunga mkono iwe legalized Opinion: Its High Time, Tanzania Tuhalalishe "The Oldest Profession?!", na Ikiwezekana, to Legalize Marijuana!Basi mkuu, inatosha! Na sijui kwa nini umelisema hilo hadharani. Wengine wanaweza wakafikiri bado unatumia. Wanaweza wakafikiri hata siku ile ulipouliza swali fulani gumu sehemu fulani, ujasiri ulitokana na hicho...
Summit..Dah!!Yule wa Tambaza ni Mustafa Kudra huyu ni Kudrat. Yuko jamaa mwingine anaitwa Micheal Mwakilasa, alipiga 1 ya point 7!. Kuna group walikuwa wanakula jani summit ya Tambaza, wote wakapiga One kali!. Nilipoenda Ilboru, si na mimi nikataka 1, hivyo nikapiga jani!, kilichotokea....
P
Hapo ndio venue yangu ya kwanza kwenye ...!, hivyo naiheshimu sana summit ya TambazaSummit..Dah!!
Summit hoyeee!!😃😄Hapo ndio venue yangu ya kwanza kwenye ...!, hivyo naiheshimu sana summit ya Tambaza
P
Illboru ulisoma combi gani kama ni HGL basi unatupanga ujapata A 's kadhaa.Asante, leo ndio nimejua kumbe Prof. Shivji alisoma Tambaza!. Ndio Shule yangu!.
Tambaza imetoa vipanga kibao!.
Miaka yetu kuna kipanga akiitwa Mustafa Kudra, alipiga A 11!. Mwingine aliitwa Elhanan Elirehema Lema, huyu alipiga A 10!. Tambaza tulikuwa na A 7 kibao!, mimi mwenyewe nilikuwa na A's kadhaa, nikaenda Ilboru.
P
Ilboru nimesoma HGL by choice, na nilikuwa na A kadhaa!.Illboru ulisoma combi gani kama ni HGL basi unatupanga ujapata A 's kadhaa.
Kumbe Mkuu ushawahi kushtua kweli ujana maji ya moto ulitumia approach mbaya kwa lengo Zuri mimi binafsi mahaba ndio yalinipelekea nijaribu na lengo lilikuwa kupata ujasiri wa kumuacha aliyekuwa mwenza wangu..Mimi, niko very open on everything, the good, the bad and the ugly I did during foolish age!, naunga mkono iwe legalized Opinion: Its High Time, Tanzania Tuhalalishe "The Oldest Profession?!", na Ikiwezekana, to Legalize Marijuana!
P
Sasa hivi baba askofu ndio mutwa mkulu?Mwandishi ni Askofu Mwamakula
Basi hongera sana father Mayalla kama ulipata A za phys na chem na ukaenda kusoma HGL...Ilboru nimesoma HGL by choice, na nilikuwa na A kadhaa!.
P
Bora hata hukwenda kusoma hizo mambo.Ilboru nimesoma HGL by choice, na nilikuwa na A kadhaa!.
P
Kumbe ndio maana mnasaini ovyoooooYule wa Tambaza ni Mustafa Kudra huyu ni Kudrat. Yuko jamaa mwingine anaitwa Micheal Mwakilasa, alipiga 1 ya point 7!. Kuna group walikuwa wanakula jani summit ya Tambaza, wote wakapiga One kali!. Nilipoenda Ilboru, si na mimi nikataka 1, hivyo nikapiga jani!, kilichotokea....
P
Huoni kua comment yako itawa Influence madogo wale majani wakidahni watafaulu kama wewe?Yes jani lenyewe kabisa tena cha Arusha!
P
No hapana sikupata A ya math, physics, chemistry wala biology, zote nimepiga C, nina A za masomo mengine!.Basi hongera sana father Mayalla kama ulipata A za phys na chem na ukaenda kusoma HGL...
Kwa mtu anayetetea ku legalize, kama jani linasaidia vitu, wale tuu branchi.Huoni kua comment yako itawa Influence madogo wale majani wakidahni watafaulu kama wewe?
Shivji ni mkongwe aisee
aiseeYes jani lenyewe kabisa tena cha Arusha!
P