Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mwaipopo mpuz mmoja tuAnakuja mjinga toka kyela ati mwaipopo anataka kuleta ubaguzi wa kijinga kwa Prof! Ndio maana watu walimpuuza na kumsema sana Shivji ni aina ya wanazuoni muhimu sana na maoni yao huheshimika sana hadi na serikali
Tanzania sahv kuna kitu kinafanyikaHoja za Prof Shivji kujibiwa na Mwijaku na Baba Levo ilipaswa iwe ni uhujumu elimu
Watakuwa .. .. wanatafuta pa kufia tu.. ..sio wasomaji!Huoni kua comment yako itawa Influence madogo wale majani wakidahni watafaulu kama wewe?
Pascal Mayalla
Mtoto wa kota
Mohamed Said
Mtoto wa kishua
Abdul Nondo
Mdadavuzi
Sky Eclat
Mkongwe
Mwalimu Mpwayungu Village
Kwa kumbukumbu
Comred MSEZA MKULU upo kweli?
FaizaFoxy pita huku
Na wengineo karibuni
Muhimbili - Tambaza /Aga Khan Boys for life, like Dr. Shivji.[emoji1787]
Mkuu Golidi, GoldDhahabu , huwezi amini hii post yako ndio nimeiona leo!.Hongera mkuu!
Na wewe ni Mzalendo halisi kama Profesa Issa Shivji?
Nikwambie kwenye siasa hakutakiwi akili atakachokisema mkuu no Amri nyinyi chini yake NI utekelezaji tu. Kule huna nafasi ya kutumia akili yako vinginevyo utaliwa kichwa mapema sana urudi Udsm kufundishaKwa nini Shivji hakupewa bitengo vikubwa hata mkuu wa mkoa tu. Bright mind wabaishia kufundidha tu miaka yote vadala wawe thinktank jwenye vitengo vya uundaji wa sera. Ila siipendi tu tabua yake ya ijmaa jamaa wa kizamani.
Huko ujue kupiga domo tuNikwambie kwenye siasa hakutakiwi akili atakachokisema mkuu no Amri nyinyi chini yake NI utekelezaji tu. Kule huna nafasi ya kutumia akili yako vinginevyo utaliwa kichwa mapema sana urudi Udsm kufundisha
Kule ni tumejenga zahati, shule na barabara CCM Oyeee.Huko ujue kupiga domo tu
Ova
😄Kule ni tumejenga zahati, shule na barabara CCM Oyeee.
Mitano Tena. Umemaliza
Hakuna reasoning sijui logic hayo weka pembeni
Uko vizuri sana mkuu, sema tu unakoseaga kitu kimoja: kukataa uwepo wa Tanganyika huku ukiutambua uwepo wa nchi ya Zanzibar.Mkuu Golidi, GoldDhahabu , huwezi amini hii post yako ndio nimeiona leo!.
Mimi pia ni mzalendo, ikatokea nimemkubali sana Prof. Shivji, akaja kuwa Mwalimu wangu wa LW100 Admin Law ndio mambo ya constitution, somo lake nilipasua A, utadhani mtihani nilitunga mimi!.
Baada ya kuanza kujenga familia, mimi na wife tulihamia UK, wife akagomea huko, mimi uzalendo ukanirudisha Bongo, nikamlazimisha wife kurudi, akarudi shingo upande.
Akapa scholarship ya 4 years US, fully funded, nikamjoin, lakini uzalendo ukanirudisha Bongo!. Wife na kids are now US subjects, mimi ni mbongo kwa uzalendo tuu!.
Humu jf, nimepandisha mabandiko zaidi ya 10 ya Prof. Shivji
- Prof. Shivji aukosoa Mchakato wa Katiba Mpya, aliponda Bunge la Katiba
- Gwiji wa Sheria na Katiba, Prof. Issa Shivji, Agoma Kuzungumzia Dhana ya Udikiteta/Uvunjifu Katiba!
- Prof Issa Shivji na ubakaji wa matakwa ya UMMA na Muundo wa Muungano
- Live on TBC1: Kongamano la Vyuo Vikuu kuhusu Muungano
- Nani alimtuma Issa Shivji The Professor??
- Mwenyekiti/Spika wa BUNGE la KATIBA MPYA NOVEMBER 2013