kibol
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 4,521
- 2,747
Ni muda sasa umepita sijamsikia kwenye VPL, dogo alivuma sana kwa muda mfupi na kupotea ghafla, ninachokumbuka alitofautiana na viongozi wa simba sports club kwasababu za maslahi na kutimkia azam, baada ya hapo sijamsikia tena, hivyo yeyote yule mwenye taarifa za mahali alipo bwana mdogo huyu anisaidie.