Wapi alipo winga teleza Ramadhan Singano ""Messi""?

kibol

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2012
Posts
4,521
Reaction score
2,747
Ni muda sasa umepita sijamsikia kwenye VPL, dogo alivuma sana kwa muda mfupi na kupotea ghafla, ninachokumbuka alitofautiana na viongozi wa simba sports club kwasababu za maslahi na kutimkia azam, baada ya hapo sijamsikia tena, hivyo yeyote yule mwenye taarifa za mahali alipo bwana mdogo huyu anisaidie.
 
Roho mbaya za viongozi wa mbumbumbu ndio zimempoteza.
 
Tamaa zakutaka maisha haraka na ushauri mbovu ndio ulimponza

hyo ni nature ya binadamu yoyote kutafuta malisho bora zaidi kuliko sehemu aliyopo, singano alifanya uamuzi sahihi kuondoka simba coz walimuahidi kumfanyia vitu vingi lkn hawakuvifanya sasa ulitka afanyaje? aendelee kuvumilia ujinga ...now yupo azam analipwa vizuri tu izo changamoto za kukaa benchi wamepitia wengi tu! ye sio wa kwanza
 
Sifa na ushauri wa ajabu kutoka kwa viongozi vimemponza

jamal mwambeleko alikuwa mbao anacheza kikosi cha kwanza now kahamia simba anapigwa benchi mwanzo mwisho!! vp na yeye sifa na ushauri wa ajabu vimemponza??........tatizo lenu nyie mashabiki wa simba na yanga mnaona timu zenu km timu za malaika mchezaji hatakiwi kuhama hta km amepata dau nono timu nyingine same to domayo alivyoondoka yanga waliongea maneno kbao ya kumkatisha tamaa. sema alikaza roho leo anaishi big life akiwa azam
 
Alidanganyika na kuttukana Wahenga. Hizi timu za Kariakooo usibishane nazo Kisa Azam. Kiko wapi akina Domayo, Mwaikimba, Singano, Mapunda nk
Dogo alikuwa na uwezo mzuri tu mpaka anatoka simba ila ghafla tu naona kapotea kabisa kwasababu hasikiki ata kwenye benchi la wachezaji wa akiba.
 
Alidanganyika na kuttukana Wahenga. Hizi timu za Kariakooo usibishane nazo Kisa Azam. Kiko wapi akina Domayo, Mwaikimba, Singano, Mapunda nk
Dogo alikuwa na uwezo mzuri tu mpaka anatoka simba ila ghafla tu naona kapotea kabisa kwasababu hasikiki ata kwenye benchi la wachezaji wa akiba.
 
Alidanganyika na kuttukana Wahenga. Hizi timu za Kariakooo usibishane nazo Kisa Azam. Kiko wapi akina Domayo, Mwaikimba, Singano, Mapunda nk
Dogo alikuwa na uwezo mzuri tu mpaka anatoka simba ila ghafla tu naona kapotea kabisa kwasababu hasikiki ata kwenye benchi la wachezaji wa akiba.
 
Alidanganyika na kuttukana Wahenga. Hizi timu za Kariakooo usibishane nazo Kisa Azam. Kiko wapi akina Domayo, Mwaikimba, Singano, Mapunda nk
Dogo alikuwa na uwezo mzuri tu mpaka anatoka simba ila ghafla tu naona kapotea kabisa kwasababu hasikiki ata kwenye benchi la wachezaji wa akiba.
 
hyo ni nature ya binadamu yoyote kutafuta malisho bora zaidi kuliko sehemu aliyopo, singano alifanya uamuzi sahihi kuondoka simba coz walimuahidi kumfanyia vitu vingi lkn hawakuvifanya sasa ulitka afanyaje? aendelee kuvumilia ujinga ...now yupo azam analipwa vizuri tu izo changamoto za kukaa benchi wamepitia wengi tu! ye sio wa kwanza
Figisu zilikuwepo kweli wakati anafanya maamuzi ya kuhama simba kwa ajili ya maslahi yale naya familia yake, na wala hakuna kosa lolote kuhama timu, swali hapa ilikuwaje kiwango chake kiporomoke ghafla hivyo wakati alikuwa kwenye kiwango kizuri wakati anatoka simba na watu walimtabiria makubwa hapo mbeleni.
 
hata ajibu ameenda kuua kiwango chake...
leteni povu
Sema nae juzi kati hapa alikuwa na ukame wa magoli, nafikiri kwa upande wa magoli analingana na beki wa kushoto wa simba, Asante Kwasi, ila bado mchezaji mzuri kiujumla.
 
Alidanganyika na kuttukana Wahenga. Hizi timu za Kariakooo usibishane nazo Kisa Azam. Kiko wapi akina Domayo, Mwaikimba, Singano, Mapunda nk
Frank Domayo wakati anatoka yanga kwenda azam kulikuwa na maneno jambo ambalo nila kawaida kwa soka letu la bongo, huyu alipotea kwa muda kwasababu alivyo fika azam alikuwa na majeraha ikamlazimu kupelekwa Africa Kusini kufanyiwa operesheni, hvy alikaa nje ya uwanja kwa muda kidogo,naona karejea ingawa makali yale sio km enzi zile akiwa jangwani.
 
Back
Top Bottom