Wapi Dar naweza kupata kiwanja cha milioni mbili?

kuna watu mnajua kutania kweli unaamka ukiwa na sh 2mil unakwenda kawe, mbezi beach, mbezi, kimara?
Hamna si utani! Wengine Kawe hatuijui vizuri tunasoma kata zake kwenye ramani! So kwa we unaepajua vizuri unajua wapi kwa kwenda
 
Dar katka moja ya wilaya za Dar siyo lazima nilizotaja hapo juu!!… isiwe Pwani, Kibaha sijui Mkuranga.

Karibuni
Kibaha siyo pa kupakataa.

Unajua mpaka miaka ya 95 hiyo Kimara, Mbezi Kibamba na Kiluvya watu walikuwa wananunua viwanja 300K&500K tena heka lakini leo ndiyo sehemu huwezi kupata kiwanja 20×20 kwa bei chini ya 7mil,tena ndani kilometre kadhaa kutoka Morogoro Rd.

Kibaha ndiyo mlango wa mji miaka kumi mbele itakuja kuwa mtu anayetoka Kibaha to city center na anayetoka Mbezi hawapishani zaidi ya ½saa tofauti na Kigamboni na kipindi hiko watu watataka kusogea Mlandizi, Kibaha panashawishi kwa sasa kimakazi.
 
Kibaha siyo pa kupakataa.

Unajua mpaka miaka ya 95 hiyo Kimara,Mbezi Kibamba na Kiluvya watu walikuwa wananunua viwanja 300K&500K tena heka lakini leo ndiyo sehemu huwezi kupata kiwanja 20×20 kwa bei chini ya 7mil.

Kibaha ndiyo mlango wa mji miaka kumi mbele itakuja kuwa mtu anayetoka Mbezi to city center hawapishani zaidi ya ½saa tofauti na Kigamboni na kipindi hiko watu watataka kusogea Mlandizi,Kibaha panashawishi kwa sasa kimakazi.
Nipe bei za kibaha 3km -5km
 
Habar wakuu,
Nataka nijenge Dar lakini kabla ya hapo nilikuwa nahitaji kufanya survey
Napenda wilaya tatu Kinondoni, Dar na Kigamboni lakini nilivyopitia maeneo mengi ambayo ni mazuri Kawe, Mbezi, Mbezi beach, Kinyerezi Kimara ni ghali sana, hii survey nimeifanya mtandaoni! Yaani huku kupata kiwanja cha hata 2M sidhani!!

Swali Je ni wap naweza pata kiwanja cha 2 Milion au hata 3 maximum kilicho Dar katka moja ya wilaya za Dar siyo lazima nilizotaja hapo juu!!… isiwe Pwani, Kibaha sijui Mkuranga.

Karibuni
Mbondole utapata.
 
Kibaha siyo pa kupakataa.

Unajua mpaka miaka ya 95 hiyo Kimara,Mbezi Kibamba na Kiluvya watu walikuwa wananunua viwanja 300K&500K tena heka lakini leo ndiyo sehemu huwezi kupata kiwanja 20×20 kwa bei chini ya 7mil.

Kibaha ndiyo mlango wa mji miaka kumi mbele itakuja kuwa mtu anayetoka Mbezi to city center hawapishani zaidi ya ½saa tofauti na Kigamboni na kipindi hiko watu watataka kusogea Mlandizi,Kibaha panashawishi kwa sasa kimakazi.
Yaah.. Kibaha Mlandizi ndio sehemu za kukamatia viwanja kadri uwezavyo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kibaha siyo pa kupakataa.

Unajua mpaka miaka ya 95 hiyo Kimara,Mbezi Kibamba na Kiluvya watu walikuwa wananunua viwanja 300K&500K tena heka lakini leo ndiyo sehemu huwezi kupata kiwanja 20×20 kwa bei chini ya 7mil.

Kibaha ndiyo mlango wa mji miaka kumi mbele itakuja kuwa mtu anayetoka Mbezi to city center hawapishani zaidi ya ½saa tofauti na Kigamboni na kipindi hiko watu watataka kusogea Mlandizi,Kibaha panashawishi kwa sasa kimakazi.
I agree with you ....Nimechukua plot Kibaha kongowe kata ya Msufini karibu kabisa na Station ya standard gauge railway (SOGA) tayari kuna maeneo yametengwa kwa ajili ya viwanda, Barabara zishaanza kuchongwa ...Kibaha is the best compare to Kigamboni
Umbali kutoka city centre to Kibaha kongowe ni 40km
Distance from City centre to kigamboni buyuni ni 50+ km
Hapo kwa mwenye kufikiria vizur atajua wapi akainvest
Coz kwa 1.5m+ ndo unaweza ukapata kiwanja kigamboni tena huko Buyuni ndani ndani..na pia kwa bei hiyo hiyo unapata Kibaha

Distance from City centre to Chalinze ni 100km ...Upo uwezekano mkubwa wa kuja kutanuliwa barabara ya Dar to chalinze ikawa double road

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar wakuu,
Nataka nijenge Dar lakini kabla ya hapo nilikuwa nahitaji kufanya survey
Napenda wilaya tatu Kinondoni, Dar na Kigamboni lakini nilivyopitia maeneo mengi ambayo ni mazuri Kawe, Mbezi, Mbezi beach, Kinyerezi Kimara ni ghali sana, hii survey nimeifanya mtandaoni! Yaani huku kupata kiwanja cha hata 2M sidhani!!

Swali Je ni wap naweza pata kiwanja cha 2 Milion au hata 3 maximum kilicho Dar katka moja ya wilaya za Dar siyo lazima nilizotaja hapo juu!!… isiwe Pwani, Kibaha sijui Mkuranga.

Karibuni
Chalinze kwa mwarabu vipo vilivyopimwa
 
Back
Top Bottom