Wapi Dar naweza kupata kiwanja cha milioni mbili?

Wapi Dar naweza kupata kiwanja cha milioni mbili?

Chanika unapata kwa bajeti hiyo.

Chanika ni wilaya ya Ilala ipo ndani ya Dar. Pia Chamazi ndani ndani ama Mbande ndani ndani unaweza pata cha milioni 3.

Mbande ipo ndani ya wilaya ya Temeke.

Pia Kivule ndani ndani unaweza pata cha milion 3. Hiyo ni wilaya ya Ilala..
Temeke asije. Ataondoka uchi 😆 huku tuachieni ngumbalu
 
Sasa Unaweza kumiliki kiwanja kizuri kwa Bei nzuri kabisa na ukalipa Cash ama ukachukua kwa mkopo Viwanja tulivyonavyo kwa Sasa Ni hivi👇
✅Fukayosi Bagamoyo kuanzia sqm 500 Bei kwa Cash ni Tsh 1,250,000 na kwa mkopo ni Tsh 3000 kwa sqm 1 kwa muda wa miezi 6
✅kiluvya Makurunge Bei kwa Cash ni Tsh 14,000,000 kwa heka 1 na kwa mkopo ni Tsh 15,000,000 kwa heka 1 kwa miezi 6.
✅Vigwaza Chalinze unapata kuanzia sqm 500 Bei kwa Cash ni Tsh 1,450 kwa sqm 1 na kwa mkopo ni Tsh 1,600 kwa sqm 1 kwa miezi minne.
✅Kiluvya Madukani unapata kuanzia sqm 500 Bei kwa Cash ni Tsh 16,000 kwa sqm 1 na kwa mkopo Tsh 17,000 kwa sqm 1 kwa miezi 6.
✅Kiwangwa Bei kwa Cash ni Tsh 1,200,000 kwa heka 1 na kwa mkopo Tsh 1,500,000 kwa heka 1 kwa miezi 6.
✅Kigambo AVICK Town Bei kwa Cash Tsh 13,500 kwa SQM 1 na Kwa mkopo Tsh 15,000 kwa sqm 1 kwa miezi 9.
✅Goba Kulangwa Bei kwa Cash ni Tsh 41,640 na kwa mkopo Tsh 42,000 kwa sqm kwa miezi mitatu.
✅ Mlandizi Makazi Mapya Bei kwa Cash ni Tsh 15,000,000 kwa heka 1 eneo hili linafaa kujenga taasisi za elimu,huduma za afya au kiwanda.
Viwanja Vyote Vimepimwa na huduma zote za kijamii zinapatikana
Tunaweza kutembelea miradi hii siku ya Jumatano/Jumamosi ukajionee then ujiridhishe uchukue hatua
Tuwasiliane chap kupitia What'sapp Поделиться в WhatsApp
 
Sasa Unaweza kumiliki kiwanja kizuri kwa Bei nzuri kabisa na ukalipa Cash ama ukachukua kwa mkopo Viwanja tulivyonavyo kwa Sasa Ni hivi[emoji116]
[emoji736]Fukayosi Bagamoyo kuanzia sqm 500 Bei kwa Cash ni Tsh 1,250,000 na kwa mkopo ni Tsh 3000 kwa sqm 1 kwa muda wa miezi 6
[emoji736]kiluvya Makurunge Bei kwa Cash ni Tsh 14,000,000 kwa heka 1 na kwa mkopo ni Tsh 15,000,000 kwa heka 1 kwa miezi 6.
[emoji736]Vigwaza Chalinze unapata kuanzia sqm 500 Bei kwa Cash ni Tsh 1,450 kwa sqm 1 na kwa mkopo ni Tsh 1,600 kwa sqm 1 kwa miezi minne.
[emoji736]Kiluvya Madukani unapata kuanzia sqm 500 Bei kwa Cash ni Tsh 16,000 kwa sqm 1 na kwa mkopo Tsh 17,000 kwa sqm 1 kwa miezi 6.
[emoji736]Kiwangwa Bei kwa Cash ni Tsh 1,200,000 kwa heka 1 na kwa mkopo Tsh 1,500,000 kwa heka 1 kwa miezi 6.
[emoji736]Kigambo AVICK Town Bei kwa Cash Tsh 13,500 kwa SQM 1 na Kwa mkopo Tsh 15,000 kwa sqm 1 kwa miezi 9.
[emoji736]Goba Kulangwa Bei kwa Cash ni Tsh 41,640 na kwa mkopo Tsh 42,000 kwa sqm kwa miezi mitatu.
[emoji736] Mlandizi Makazi Mapya Bei kwa Cash ni Tsh 15,000,000 kwa heka 1 eneo hili linafaa kujenga taasisi za elimu,huduma za afya au kiwanda.
Viwanja Vyote Vimepimwa na huduma zote za kijamii zinapatikana
Tunaweza kutembelea miradi hii siku ya Jumatano/Jumamosi ukajionee then ujiridhishe uchukue hatua
Tuwasiliane chap kupitia What'sapp Поделиться в WhatsApp
Nyie ndio huwa mnafanya watu wanakata tamaa ya kununua viwanja na kujenga..mnatakaga faida kubwa mno.

Ili hali mtu akiamua kwenda mwenye front kutafita viwanja maeneo haya anapata kwa bei nzuri tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nyie ndio huwa mnafanya watu wanakata tamaa ya kununua viwanja na kujenga..mnatakaga faida kubwa mno.

Ili hali mtu akiamua kwenda mwenye front kutafita viwanja maeneo haya anapata kwa bei nzuri tu.

#MaendeleoHayanaChama
Uko sahihi kabisa. Nimeangalia bei ya sqm moja vigwaza 1450 maana yake kwa eka moja ambayo ni sqm 4900 karibia 7M. Kwa mfano hiyo bei ya Vigwaza kiwanja vigwaza ni balaa wakati mi nauza eka moja kwa 2.5M. Hebu kwa anaetaka vigwaza anione tufanye biashara. Ukitaka eka au pungufu ya eka au zaidi nione.
 
Back
Top Bottom