RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Toka Dar hadi Bagamoyo, kutoka Bagamoyo unapita Fukayosi ndio unaikuta Kiwangwa kilomita chache kufika Msata. Kama umepita njia ya Bagamoyo-Msata Kiwangwa ni pale unakuta kunauzwa mananasi mengi sana na pamechangamka sana.Kiwangwa ndio wapi ?