Wapi Dar naweza kupata kiwanja cha milioni mbili?

Wapi Dar naweza kupata kiwanja cha milioni mbili?

Sasa Unaweza kumiliki kiwanja kizuri kwa Bei nzuri kabisa na ukalipa Cash ama ukachukua kwa mkopo Viwanja tulivyonavyo kwa Sasa Ni hivi👇
âś…Fukayosi Bagamoyo kuanzia sqm 500 Bei kwa Cash ni Tsh 1,250,000 na kwa mkopo ni Tsh 3000 kwa sqm 1 kwa muda wa miezi 6...
Halafu wewe acha ujinga Mlandizi makazi mpya nani amekwambia kuwa heka ni mil 15?
Wakati heka ni mil 4 tu..
 
Karibu Chanika mwisho, kwa mheshimiwa mpango viwanja bei nzuri na kinapakana na barabara. Vinaanza na Mil 2 hutakuja juta ..nichek 0629700908.


IMG_20220917_170459_979.jpg
IMG_20220917_170514_235.jpg
 
Ukiwa. Dar
Unaweza. Kusema.hivo.moro
Rod. Karibu
Na.barabarani
Hakuna
Sehemu
Inauzwa. Rahis
Watu
Wengi.wanahamia.huko.wanasogea.karibu.nabandari.kavu
Kama ni karibu na ile barabara ya bandari kavu kule sahv pashakua hot
Siku za weekend watu wanaenda sana kutembelea viwanja vyao .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chanika kuna kiwanja inatakiwa 2m chapuchapu,1km toka main road,ukubwa 600sqm.Nicheki 0677089280.
 
Habari wakuu,

Nataka nijenge Dar lakini kabla ya hapo nilikuwa nahitaji kufanya survey. Napenda wilaya tatu Kinondoni, Dar na Kigamboni lakini nilivyopitia maeneo mengi ambayo ni mazuri Kawe, Mbezi, Mbezi Beach, Kinyerezi Kimara ni ghali sana, hii survey nimeifanya mtandaoni! Yaani huku kupata kiwanja cha hata 2M sidhani.

Swali: Je, ni wapi naweza kupata kiwanja cha 2 Milion au hata 3 maximum kilicho Dar katika moja ya wilaya za Dar siyo lazima nilizotaja hapo juu! Isiwe Pwani, Kibaha sijui Mkuranga.

Karibuni
LABDA KIWANJA CHA KULA BATA WEEKEND NA PENYEWE MILIONI MBILI HIYO NI NDOGO. njoo PM nikuelekeze Machimbo ila anza na Wavuvi Kempu Coco Beach. Pale local beer ni elfu 7 na imported beer (Heineken, Windo, Savanna Desperado) elfu 9, vikali vinauzwa bei tofaut tofauti hadi 435,000 Hennessy
 
Kipo chanika HOMBOZA
Robo heka (35 kwa 20)
Kinataka laki 9 tu.
Nakubaliana na wee uko ndani mvuti ndani Sana viwanja laki Tisa Tisa na milion Ni za kumwaga Kuna jamaaa angu kanaunua Cha laki tano kaonga demu Basi jamaa alipewaa mapenzi bila kipimo nae demu kichwa kichwa alianaza kuwaosheaa wezakaa kuwa anamiliki kiwanja dsm [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom