Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchoyo uacheWapi huko Mbezi napoweza jenga chumba kimoja tu.
Kama uko serious nitafuteHabari wakuu,
Nataka nijenge Dar lakini kabla ya hapo nilikuwa nahitaji kufanya survey. Napenda wilaya tatu Kinondoni, Dar na Kigamboni lakini nilivyopitia maeneo mengi ambayo ni mazuri Kawe, Mbezi, Mbezi Beach, Kinyerezi Kimara ni ghali sana, hii survey nimeifanya mtandaoni! Yaani huku kupata kiwanja cha hata 2M sidhani.
Swali: Je, ni wapi naweza kupata kiwanja cha 2 Milion au hata 3 maximum kilicho Dar katika moja ya wilaya za Dar siyo lazima nilizotaja hapo juu! Isiwe Pwani, Kibaha sijui Mkuranga.
Karibuni
Kule kwa mheshimiwa ni mkoa wa Pwani wilaya ya KisaraweNjoo na 1.5M nakupa changu Chanika mwisho kwa Mheshimiwa
kabisaKibaha siyo pa kupakataa.
Unajua mpaka miaka ya 95 hiyo Kimara, Mbezi Kibamba na Kiluvya watu walikuwa wananunua viwanja 300K&500K tena heka lakini leo ndiyo sehemu huwezi kupata kiwanja 20×20 kwa bei chini ya 7mil,tena ndani kilometre kadhaa kutoka Morogoro Rd.
Kibaha ndiyo mlango wa mji miaka kumi mbele itakuja kuwa mtu anayetoka Kibaha to city center na anayetoka Mbezi hawapishani zaidi ya ½saa tofauti na Kigamboni na kipindi hiko watu watataka kusogea Mlandizi, Kibaha panashawishi kwa sasa kimakazi.
NakaziaKule kwa mheshimiwa ni mkoa wa Pwani wilaya ya Kisarawe
Milioni 7 kamili.
Njoo mwasonga nikupe kilichopimwa kwa iyo pesa 28km kutoka Fery na 25km kutoka darahani Ila gharama za kusainisha kwa mwenyekiti n juu yako.Habari wakuu,
Nataka nijenge Dar lakini kabla ya hapo nilikuwa nahitaji kufanya survey. Napenda wilaya tatu Kinondoni, Dar na Kigamboni lakini nilivyopitia maeneo mengi ambayo ni mazuri Kawe, Mbezi, Mbezi Beach, Kinyerezi Kimara ni ghali sana, hii survey nimeifanya mtandaoni! Yaani huku kupata kiwanja cha hata 2M sidhani.
Swali: Je, ni wapi naweza kupata kiwanja cha 2 Milion au hata 3 maximum kilicho Dar katika moja ya wilaya za Dar siyo lazima nilizotaja hapo juu! Isiwe Pwani, Kibaha sijui Mkuranga.
Karibuni
Goba center sehemu gani??? Naishi goba Nina wadau wawil wanatafuta kiwanja huku naomba more pichaKaribuni GOBA
Nnaviwanja 3 vinakaribiana GOBA Center Ni umbali wa dk 5 kutoka barabara kuu Hadi viwanja vilipo kwa pikipiki
1 hiki ni ML 7 kinamsingi wa nyumba vya vyumba 2 ukubwa wa eneo Ni sqm 350
2 hiki Ni Ml 10 ukubwa Ni sqm 600
3 Ni sqm 890 Bei ML 25
Kwa picha zaidi na maelezo pia kwenda
Mwenyekiti wa nn mkuuNjoo mwasonga nikupe kilichopimwa kwa iyo pesa 28km kutoka Fery na 25km kutoka darahani Ila gharama za kusainisha kwa mwenyekiti n juu yako.
Kupitia s/mtaa inaumuhimu ktk kupata utambuzi...maana hata wakati wakufatilia hati itakulazimu ueahusiahe wao ktk kupitisha barua zako za kuomba umiliki kwaio kila kitu kipo kwa umuhimu wake mkuu...Mwenyekiti wa nn mkuu
Ilibid uwe na Tille deeds from Wizara ya Ardhi
Hii ya kuishia kwa mwenyekiti sio salama sana
Kiwanja au shamba?Kwa 3M unapata huko Kigamboni Buyuni zaidi ya 50Kms toka Ferry. Jipange
Nimekupata Vyema mkuuKupitia s/mtaa inaumuhimu ktk kupata utambuzi...maana hata wakati wakufatilia hati itakulazimu ueahusiahe wao ktk kupitisha barua zako za kuomba umiliki kwaio kila kitu kipo kwa umuhimu wake mkuu...
Tuma picha bossSalasala kinzudi kiwanja 4.5M ukubwa 20x18