Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utafute hata youtube huko, ameimba kwa kiswahili.Huo wimbo uweke hapa mkuu...wengine hatuujui!
Unaitwa hivo hivo hidaya?Utafute hata youtube huko, ameimba kwa kiswahili.
Ni kweli aisee na sasa kashakuwa mama mtu mzima nilimsikia miaka ya hapa katikati akihojiwa clouds fm. Nasikia Joseph kabaselle alimwona mara moja tu huko arusha early 90's na akamzimia kinomanoma eti alikuwa ni mwanamke mrembo sanaNadhani umepata kuusikia ule wimbo maarufu wa Hidaya ulioimbwa na Marehemu Pepe Kalle.
Pepe Kalle alilalamika sana juu ya huyu Hidaya, yaani alimpenda sana na akasema ni Mtanzania katika baadhi ya mashairi yake alitaja maeneo kama Arusha, Morogoro nk
Je huyu Hidaya ni kweli alikuwepo au ni Pepe Kalle alijitungia tu? Na kama yupo, je ni kweli ni Mtanzania?
NdiyoUnaitwa hivo hivo hidaya?
Huu hapa, usipokuwa mkongwe huwezi kuufahamView attachment pépé kallé hidaya_low.mp4Unaitwa hivo hivo hidaya?
Asante mkuu...duuh siufahamu, Ila nimekuwa interested baada ya Leyla mtoto wake huyo mmama storee zake za kuuwawa kutrend sana!Huu hapa, usipokuwa mkongwe huwezi kuufahamView attachment 916439
Ok, habari ya Leyla ilikuwa ya kusikitisha sana.Asante mkuu...duuh siufahamu, Ila nimekuwa interested baada ya Leyla mtoto wake huyo mmama storee zake za kuuwawa kutrend sana!
Kabaselle ni nani mkuu?Ok, habari ya Leyla ilikuwa ya kusikitisha sana.
Nilivyosikia kama sijakosea huyu mama alimpa ride Joseph Kabaselle alipokuwa Arusha na baada ya hawakuonana tena
Pepe KaleKabaselle ni nani mkuu?
Naskia Hidaya alihudhuria mazishi ya pepe kaleOk, habari ya Leyla ilikuwa ya kusikitisha sana.
Nilivyosikia kama sijakosea huyu mama alimpa ride Joseph Kabaselle alipokuwa Arusha na baada ya hawakuonana tena