Wapi Hidaya wa Pepe Kalle?

Wapi Hidaya wa Pepe Kalle?

Si juzi tu kuna uzi uliletwa hidaya amedanja..tafuta huo uzi uelekezwe kaburi lake lilipo uende ukamuone
 
Juzi juzi yametokea mauaji ya kutisha Uingereza, mtuhumiwa Bw. Kema Kasambula AKA Kema Mobango Salum alivyomuuwa mke wake Leyla Mtumwa nchini Uingereza, baada ya mzozo mkali, inahadithiwa Dada Leyla Mtumwa, alivyorudi toka Disco, ndipo mzozo mkali baina yake na mume wake ndipo ulipoanza, Dada Leyla alienda Disco na dada machachari hapa TZ na UK ajulikanaye kama "Mecky Matako"...
Ni habari iliyomsikitisha kila mtu kule UK na hapa TZ...

RIP Dada Leyla Mtumwa...
leyla-5-jpg.732112
index3-jpg.732114
index2-jpg.732115
index1-jpg.732116
index-jpg.732117


Asimulia jinsi mtoto wa aliyeuawa Uingereza alivyopambana kuokoa

Mtanzania aua mkewe Uingereza

MECKY


1481966_10152121797605625_1903821066_n-jpg.732118
20526072_10155699564835625_253658126931330268_n-jpg.732119
20621797_10155699992740625_7472895194874003310_n-jpg.732120



Wadau wanavyodai huko UK...
Pamoja na kulaani kwa sauti za juu na kutaka kukomesha haya maya matukio kwa kina mama, wadau ahasa wanaume wanaomba wakina mama mtulie mkishaolewa, achaneni kubisha na wanaume wenu na hata kujifanya wababe kwa kudai watawafanya nini!
Maana kina dada hasa Ughaibuni wenye watoto wanasifika kwa viburi kutokana na sheria kuwaangalia..Jamani, mila zetu ziendelezwe popote pale tulipo tuheshimiane pande zote...
Tena RIP Leyla..


Attached Files:
Report

MTOTO WA MAREHEMU LEYLA MTUMWA ALIVYOJARIBU KUOKOA MAISHA YA MAMA YAKE MTOTO WA MAREHEMU LEYLA MTUMWA ALIVYOJARIBU KUOKOA MAISHA YA MAMA YAKE via JamiiForums
 
Nadhani umepata kuusikia ule wimbo maarufu wa Hidaya ulioimbwa na Marehemu Pepe Kalle.

Pepe Kalle alilalamika sana juu ya huyu Hidaya, yaani alimpenda sana na akasema ni Mtanzania katika baadhi ya mashairi yake alitaja maeneo kama Arusha, Morogoro nk

Je huyu Hidaya ni kweli alikuwepo au ni Pepe Kalle alijitungia tu? Na kama yupo, je ni kweli ni Mtanzania?
 
Nadhani umepata kuusikia ule wimbo maarufu wa Hidaya ulioimbwa na Marehemu Pepe Kalle.

Pepe Kalle alilalamika sana juu ya huyu Hidaya, yaani alimpenda sana na akasema ni Mtanzania katika baadhi ya mashairi yake alitaja maeneo kama Arusha, Morogoro nk

Je huyu Hidaya ni kweli alikuwepo au ni Pepe Kalle alijitungia tu? Na kama yupo, je ni kweli ni Mtanzania?
Ni kweli aisee na sasa kashakuwa mama mtu mzima nilimsikia miaka ya hapa katikati akihojiwa clouds fm. Nasikia Joseph kabaselle alimwona mara moja tu huko arusha early 90's na akamzimia kinomanoma eti alikuwa ni mwanamke mrembo sana
 
Hidaya yupo mpaka Sasa Arusha.Alikuwa mzuri mzuriiiii balaa.Mtoto wake ndo Yule Leila aliyeuawa na jamaa huko Uingereza.Na Jamaa kafungwa Maisha Ila Kwanza atatumikia 23 yrs
 
Asante mkuu...duuh siufahamu, Ila nimekuwa interested baada ya Leyla mtoto wake huyo mmama storee zake za kuuwawa kutrend sana!
Ok, habari ya Leyla ilikuwa ya kusikitisha sana.
Nilivyosikia kama sijakosea huyu mama alimpa ride Joseph Kabaselle alipokuwa Arusha na baada ya hawakuonana tena
 
Back
Top Bottom