Wapi ilipo ndege ya Malaysia MH 370?

ssiachi wacha kunisumbua
Unafikiri ni jibu zuri ulilotoa na litapendeza wengi??? Kua na heshima kwa wenzako sio kila mtu anaweza kununua simu kubwa kama unavyotaka na hata baadhi ya simu pia zinaonyesha quote nzima kabisa.
 
dah yani leo bibie umeshusha nondo za uhakika kabisa sio kama zile hadithi zako kule MMU
 
watakuwa wanakusukumizia wewe unanipangia cha kufanya kama nani ? kwani lazma usome nilichoamdika taq.....o lako halafu unaniita fala mamamae zako

Fala wewe
Wakuu nyie wote huwa nawakubali sana
Sasa nashangaa ndege inapotea Malaysia halafu nyie mnagombana huku jf.
Lets have peace wakuu.
Nawaaminia
 
Mabaki ya ndege hiyo yaliokotwa na wavuvi Zanzbar na baadae mabaki hayo yalipelrkwa Malasysia kwa uchunguzi.
 
Nilitaka kuwajibu kwa hoja lakin sababu mmekuja na matusi kutaka kiki kuwaaminisha umma kwamba nyie ndo mnajua sana kwamba wengine ni wajinga ..kama kumjibu mtu kwa hoja hadi umtukane kwanza basi endeleeni watalaamu wa kufafanua mambo hahaha. "Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake.
 
Ni nani aliyekutukana? Binafsi nilishaachana na tabia ya kutukanana na watu nisiowafahamu mtandaoni. Lakini hata kama umetukanwa, so what? Are you that psychologically fragile?

Anyway, kaa na welewa wako mkuu. Hujalazimishwa and nobody cares!!! Salim Msangi hapo juu (comment # 12) anadai ume-plagiarize lihabari lote hili kutoka katika blog yake na haishangazi kama hujui cho chote kuhusu suala hili. Ndiyo shida za kuokota okota mambo mitandaoni. Kuna documentary ya Discovery Channel kuhusu possibilities mbalimbali zilizoipata ndege hii kuanzia conspiracies mpaka sababu za kisayansi. Itafute ujielimishe lakini hizi porojo zako za eti 777 inagawanyika na 11 zimekataliwa. Asante kwa kuzira!!!
 
Nimevutiwa na simuliz yako mkuu, ebu endelea iko vzr,, hayo yanayodiss ndo machaw kbsaa,,
 
bro nimekuelewa sana...
 

Au kwa vile hajaandika sorce:-Salim Msangi .
 
Umesema kweli kiongozi
 
Upuuuzi. Kwa akili hizi bongo haiwezi kuendelea sababu watu akili zao zimejaa conspiracy theories tu, Freemasonry, illuminatei, uchawi na ulozi mambo ambayo yote ni story za kusadikika.

FYI wanadamu wanajua na wame explore zaidi space kuliko Sea. Hadi leo tunajua takribani 5% tu ya bahari na 95 bado haijawa explored, kuna maeneo na viumbe huko chini hatuna idea kabisa kukoje. Sio kwamba hatupendi kujua dunia yetu kwa undani bali kuna changamoto nyingi sana za explore bahari kuliko space, kuna sehemu baharini hatuna chombo kinachoweza kufika kwa technology ya Leo. Hivyo kama ndege hii ilianguka katika moja ya hayo maeneo ni ngumu sana kujua its whereabouts.

Achana na story za abunuasi jiongeze maarifa.
 
Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbav wake.
 
Ni upuuzi kila kitu kulazimishia namba na kuhusisha illuminati na freemaso. watu wameshashtuka kwa sasa. hebu gawanya 777 kwa 11 igawanyike iishe. wabongo mnapenda sana mambo ya kishirikina. na ukikutana na watu kadhaa huko wakakuhusishia na ushirikina basi unakimbilia kuja kuanzisha thread. tumechoka kila siku habari za conspiracy theory hata kwenye vitu ambavyo ni dhahiri kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…