Wapi ilipo ndege ya Malaysia MH 370?

Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake.
 
na uliko copy jamaa anataka ukajieleze. unaona tu kitu unacopy na kuja kupaste huku hata kukielezea hujui. mbumbumbu kabisa . nchi nyingine wanaweza kukufunga.a knowledge kaz ya mtu usi plagiarize. na ndo maana hata kutetea na kupiga hesabu unashindwa. ninyi shulen hamkujifunza ku reason?



Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake.
 
Swali #5..... Kama unajua Transponder ni nini,basi utakua umejibu swali lako!
 
Hakuna kitu kama hicho....WALIKANUSHA
 


Na jamaa wamenyoosha mikono rasmi kwamba hawatoitafuta tena
 
Sikuiz tukiambiwa kitu tunaprove kama kuna uhusiano xo aliposema namba 777 inagawanyika kwa 11 alitegeamea wadau watapita juu kwaju xo kwa baat mbaya kama kayumb iv mtoa mada!!! Ahahaa usirudie tenaaaaaaaa
 
Umejibu vzr lakini kuhusu black box hujajibu
 
ila wewe jamaa nilikuwa naipenda blog yako unaelezea vizuri mambo ya freemason na illuminat, baada ya kuniingiza chaka kuhusu Hillary Clinton nikaacha kabisa kusoma habari kwenye blog yako. Nilihisi huna uhakika na unachoandika
 
ila wewe jamaa nilikuwa naipenda blog yako unaelezea vizuri mambo ya freemason na illuminat, baada ya kuniingiza chaka kuhusu Hillary Clinton nikaacha kabisa kusoma habari kwenye blog yako. Nilihisi huna uhakika na unachoandika
Unakarabishwa mdau nadhani kwenye post ya queen replaced wasiwasi WaPo huo nimeutoa kabisa, rudi kapitie hizo two post. Lakini ni nani malaika asiyekosea?[emoji1]
 
Kuna series moja inaitwa lost itafute, jamaa wamelieleza tukio hili miaka mingi, itz was planed,

Na ukiona ile move na ndege ilivyo potea ni vilevile isipokuwa tu ile ni move na hii ni uhalisia, na wahusika ni tofauti, mi

Ninachoweza kusema hii ni series ya LOST inaendelea....

Wala sikushangaa kupotea ila nlijua tu kuwa kumbe series inaendelea... Itafute utaelewa nnachozungumza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…