Uchaguzi 2020 Wapi kimbunga cha Bernard Membe jamani?

Hahahaaa I know.

But at least they should make it official.

Bado anagombea au hagombei?

Halafu natabiri atarudi tu CCM....you watch this space.

Sasa hivi kawa irrelevant hadi anatia huruma.
Ndio maana mimi nasema ccm haifai. Mtu akijitoa tu, anaanza kufuatiliwa na kuwekewa vikwazo. Huu mfumo hautakiwi kwenye jamii za watu waliostaarabika.

Nawachukia raia wa kawaida wasioliona hili.

Hawa jamaa wamejichimbia wanatafuna ilihali watu wao wanateseka.
Akitokea mtu akahama kwao, wanamuandama na kumrudisha nyuma mpaka atarudi kundini
 
CCM ni mafia sana ,hata mgombea wa chadema jimboni kwetu hapa wamefunga hela zake benki ili akose za kampeni ,ccm ni wahuni ,pamoja na tume ,polisi bado ni weupe hawawezi kujinadi ndo maana wanatumia polisi ,tume na wasanii
 
Hahahaaa I know.

But at least they should make it official.

Bado anagombea au hagombei?

Halafu natabiri atarudi tu CCM....you watch this space.

Sasa hivi kawa irrelevant hadi anatia huruma.
Kurudi atarudi, na sio yeye pekee wako wengi hata wale ambao ni wanaccm jina tuu kwa sasa.
Baada ya Jiwe kuukosa urais ni wazi hata kuwa na nguvu alizonazo ndani ya ccm tena. Hapo ndio ccm asili watakapo mfurumusha bila ajizi na wanaccm halisi watarudi kujenga chama chao.
Kinacho mlinda jiwe nafasi ya juu ndani ya chama ni nguvu zake za dola, vinginevyo hana ubavu wa kupambana ndani ya chama
 
Chadema wana ruzuku kubwa wana Akiba nyingi kuliko vyama vingine hata umati wa mikutano yote huchangia pia ni vigumu chadema wafeli kufanya kampeni
Kabisaa, yaani tuwape ruzuku ya kampeni ili Tl asimame aseme hakuna tulichofanya na ss ni madiktator?

Akiba inawekwa kwenye account zipi tusizichunguze kama ni pesa safi ndo wapate ruhusa ya kuzisambaza mtaani?

Michango ni kidogo sana kulinganisha na bajeti ya kampeni. Mnatoa wapi pesa?
 
Utakuwa na matatizo ya akili kamwone daktari mapema kabla hujawa zezeta!
 
Hagombei,ameishasema
 
Amepotea kbs, yaani tangu msaidiz wake akamatwe na hela na kuzikana, basi wamekosa hela hata ya kukodi speaker tu
 
Hahahaaa I know.

But at least they should make it official.

Bado anagombea au hagombei?

Halafu natabiri atarudi tu CCM....you watch this space.

Sasa hivi kawa irrelevant hadi anatia huruma.
Membe anafanya marudio tu ya kile alichofanya Lowassa na mwenzie Sumaye!,... kuibomoa ACT Wazalendo na baada yake kurudi CCM. Hakuna ubishi kwenye hilo kwani ameishafanikiwa kwa asilimia zaidi ya 40 hadi sasa. 🤔
 
Amepotea kbs, yaani tangu msaidiz wake akamatwe na hela na kuzikana, basi wamekosa hela hata ya kukodi speaker tu
Wamekula pesa zake zote wamefunga A/C zake za rafiki zake na wanachunguza kila mmoja anayewasiliana nae yupo kisiwani kwenye idara inayohusu pesa
 
Membe anafanya marudio tu ya kile alichofanya Lowassa na mwenzie Sumaye!,... kuibomoa ACT Wazalendo na baada yake kurudi CCM. Hakuna ubishi kwenye hilo kwani ameishafanikiwa kwa asilimia zaidi ya 40 hadi sasa. 🤔
Lowasa na Sumaye walikuwa huru na pesa zao hawakufungiwa A/C zao, lakini membe kabanwa mbavu hapumui yupo hoi hana kitu kabakia kunung’unika tu
 
Kazi za majasusi ni classfied.. Mwamba atakuwa kwenye mission moja nzito usishangae anaibuka mshindi wa urais 28/10
 
CCM ni mafia sana ,hata mgombea wa chadema jimboni kwetu hapa wamefunga hela zake benki ili akose za kampeni ,ccm ni wahuni ,pamoja na tume ,polisi bado ni weupe hawawezi kujinadi ndo maana wanatumia polisi ,tume na wasanii
CCM haipendwi tena hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu ataipigia CCM kura na hasa wakizidi kusikia mbinu zao za kuwafungia watu A/C kienyeji kwa njia haramu za kishetani
 
CCM sasa hawana ushawishi toka kwa wananchi kilichobaki ni kuwakomoa kuwahujumu kuwadhoofisha wagombea wengine wa uchaguzi ili CCM wakipora ushindi waonekane wameshinda kwa haki, CCM wakitaka kujua nguvu ya wapiga kura waamue kuachia uchaguzi wa huru na haki, hapo ndipo watajua kuwa CCM ilishatoka mioyoni mwa watanzania baada ya kuendekeza uonevu unyanyasaji uovu ufisadi mkubwa kwenye ununuzi Ndege ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge na mabaya mengi ikiwemo kupiga trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara.
 
naomba ufafanuzi kidogo kwenye kufunga Akaunti ya benki ya mtu .Hvi serkali inaruhusiwa kwenda kumfungia mtu akanti yake ambayo ipo nje ya nchi bila sababu za msingi?Na je ikitokea hvyo ww mhanga unapaswa ufanye nn ili uweze kupata fedha zako?
 
Back up yake ilikuwa kigogo wa twitter. Jasusi wa kiwango chake kuchomolewa betri kirahisi hivyo inanipa shida ya uwezo wake kitaaluma, alishindwaje kujua hakubaliki? No data collection and analysis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…