Unapata vizuri tu. Nyave/Mfiriga/Kitole/Ikang`asi kuna mvua balaa.Nat
Nataka ekari 100
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapata vizuri tu. Nyave/Mfiriga/Kitole/Ikang`asi kuna mvua balaa.Nat
Nataka ekari 100
Njombe Lupembe Barazani ni 70km, madeke iko mbele ya Lupembe barazani, ni around 100km maana ndo usawa wa Kitole na Ikang`asi.N
Nadhani maeneo ya madeke kama unaenda ifakara kilometa 40 kutoka Njombe
Heka ngapi mkuu?Siyo kweli mkuu, kama una hela sasa hivi nakupa eka za kutosha kwa Tsh 150,000/ Njombe kijiji cha Nyave. Za kutosha kweli.
Hapo ardhi inasapoti kilimo gani mkuu?Mwenye internet nzuri agugo Tova farms, hapo Tova farms ni mpakani na Nyave
Labda niwape background ya haya mashamba, kule nyuma kidogo tulinunua na kuanzisha misitu ya miti ya mbao, moto ukatulamba, wengi wamekata tamaa na kuamua kuyauza. Kuna eka 50 karibu mashamba 8 hivi, eka 100 kuna mapande 2, kuna eka 600 za pamoja, 40, Chini ya eka 50 kule ni ngumu kupata. Kwa hiyo ukisema nataka eka 50 nakuunganisha na mwenyewe sasa hivi. Zipo 159 hazina barabara.Heka ngapi mkuu?
Tropical products nyingi sana zinastawi, ila sijaona cocoa/choroko ukanda ule. Mazao niliyoyaona kwa macho ni chai, migomba, maharage, mahindi, embe, nanasi, parachichi, viazi, miti ya mbao, mbaazi, magimbi, njegere, ulanzi, miwa,Hapo ardhi inasapoti kilimo gani mkuu?
Kuna eka 140 zenye maji ya kutega, wenyewe wamekaza Tsh 300,000/, hazinunuliki sbb ya bei.Heka ngapi mkuu?
Shukrani sana mkuu itabidi nikutafute nione naanzia wapiLabda niwape background ya haya mashamba, kule nyuma kidogo tulinunua na kuanzisha misitu ya miti ya mbao, moto ukatulamba, wengi wamekata tamaa na kuamua kuyauza. Kuna eka 50 karibu mashamba 8 hivi, eka 100 kuna mapande 2, kuna eka 600 za pamoja, 40, Chini ya eka 50 kule ni ngumu kupata. Kwa hiyo ukisema nataka eka 50 nakuunganisha na mwenyewe sasa hivi. Zipo 159 hazina barabara.
Zenye hati za kimila tayari bei ni 250,000/, zipo 212, 50, 284, 150, 100,
KaribuShukrani sana mkuu itabidi nikutafute nione naanzia wapi
Mkuu mimi ni mzawa wa Kipagalo(Makete) sijaenda kule zaidi ya miaka 10 nimelowea Dar es Salaam.Siyo kweli mkuu, kama una hela sasa hivi nakupa eka za kutosha kwa Tsh 150,000/ Njombe kijiji cha Nyave. Za kutosha kweli.
Bei ishapanda kytoka 150 mpk 250Labda niwape background ya haya mashamba, kule nyuma kidogo tulinunua na kuanzisha misitu ya miti ya mbao, moto ukatulamba, wengi wamekata tamaa na kuamua kuyauza. Kuna eka 50 karibu mashamba 8 hivi, eka 100 kuna mapande 2, kuna eka 600 za pamoja, 40, Chini ya eka 50 kule ni ngumu kupata. Kwa hiyo ukisema nataka eka 50 nakuunganisha na mwenyewe sasa hivi. Zipo 159 hazina barabara.
Zenye hati za kimila tayari bei ni 250,000/, zipo 212, 50, 284, 150, 100,
Ndio amana tulikwambia mzee shamba 150 kwa heka njombe hupati apo kwako unapouza 150 sio shamba ila ni jiweKuna eka 140 zenye maji ya kutega, wenyewe wamekaza Tsh 300,000/, hazinunuliki sbb ya bei.
Tatizo hamsomi, nimesema yasiyo na hati za kimila ni Tsh 150,000/ kwa eka na nimewapa na idadi, na yenye hati za kimila nimekwambia ni mangapi. Nimefafanua vizuri, kwa nini yanauzwa, bado huelewi. Sijui nikusaidieje.Bei ishapanda kytoka 150 mpk 250
Kuna watu mnapenda ubishi hadi basi (mimi nipo Nyave), kwa mwenye hela nimesema aende Nyave akalipie apige kazi. Kuamini sio lazima. Karibu tulime.Ndio amana tulikwambia mzee shamba 150 kwa heka njombe hupati apo kwako unapouza 150 sio shamba ila ni jiwe
Makete yote ardhi ni ghari sana,Mkuu mimi ni mzawa wa Kipagalo(Makete) sijaenda kule zaidi ya miaka 10 nimelowea Dar es Salaam.
Baada ya kuona mada hii nikauliza bei ya maeneo kwa Kipagalo na Bulongwa kwa ujumla nimetajiwa pesa nyingi.
Nimejiuliza inawezekanaje bei ya maeneo kwa Makete iwe juu halafu Njombe iwe chini wakati Njombe ni mkoani na Makete ni wilayani.
Nafuatilia kwasababu nina mpango wa kurudi maeneo ya nyanda za juu kusini na kuendelea na maisha(joto la Dar es Salaam halizoeleki).
Milima hukoLupembe huko huko kabla haujafika barazani Kata Kona ingia ndani Kuna maeneo mazuri sana bei ni poa kinachonikera mda wote ni baridi na vumbi pia maeneo ya huko karibu mwakani naanza kuvuna parachichi