Wapi kuna mashamba ya sh 150,000/= mkoani Njombe

N
Nadhani maeneo ya madeke kama unaenda ifakara kilometa 40 kutoka Njombe
Njombe Lupembe Barazani ni 70km, madeke iko mbele ya Lupembe barazani, ni around 100km maana ndo usawa wa Kitole na Ikang`asi.
 
Mwenye internet nzuri agugo Tova farms, hapo Tova farms ni mpakani na Nyave
 
Sasa huyu Tova farms amefungua njia ya kupitia Taweta Village kuingia Nyave badala ya kuzunguka Njombe ukitokea Iringa au Moro au Dar.
 
Heka ngapi mkuu?
Labda niwape background ya haya mashamba, kule nyuma kidogo tulinunua na kuanzisha misitu ya miti ya mbao, moto ukatulamba, wengi wamekata tamaa na kuamua kuyauza. Kuna eka 50 karibu mashamba 8 hivi, eka 100 kuna mapande 2, kuna eka 600 za pamoja, 40, Chini ya eka 50 kule ni ngumu kupata. Kwa hiyo ukisema nataka eka 50 nakuunganisha na mwenyewe sasa hivi. Zipo 159 hazina barabara.

Zenye hati za kimila tayari bei ni 250,000/, zipo 212, 50, 284, 150, 100,
 
Hapo ardhi inasapoti kilimo gani mkuu?
Tropical products nyingi sana zinastawi, ila sijaona cocoa/choroko ukanda ule. Mazao niliyoyaona kwa macho ni chai, migomba, maharage, mahindi, embe, nanasi, parachichi, viazi, miti ya mbao, mbaazi, magimbi, njegere, ulanzi, miwa,
 
Labda niwape background ya haya mashamba, kule nyuma kidogo tulinunua na kuanzisha misitu ya miti ya mbao, moto ukatulamba, wengi wamekata tamaa na kuamua kuyauza. Kuna eka 50 karibu mashamba 8 hivi, eka 100 kuna mapande 2, kuna eka 600 za pamoja, 40, Chini ya eka 50 kule ni ngumu kupata. Kwa hiyo ukisema nataka eka 50 nakuunganisha na mwenyewe sasa hivi. Zipo 159 hazina barabara.

Zenye hati za kimila tayari bei ni 250,000/, zipo 212, 50, 284, 150, 100,
Shukrani sana mkuu itabidi nikutafute nione naanzia wapi
 
Siyo kweli mkuu, kama una hela sasa hivi nakupa eka za kutosha kwa Tsh 150,000/ Njombe kijiji cha Nyave. Za kutosha kweli.
Mkuu mimi ni mzawa wa Kipagalo(Makete) sijaenda kule zaidi ya miaka 10 nimelowea Dar es Salaam.

Baada ya kuona mada hii nikauliza bei ya maeneo kwa Kipagalo na Bulongwa kwa ujumla nimetajiwa pesa nyingi.

Nimejiuliza inawezekanaje bei ya maeneo kwa Makete iwe juu halafu Njombe iwe chini wakati Njombe ni mkoani na Makete ni wilayani.

Nafuatilia kwasababu nina mpango wa kurudi maeneo ya nyanda za juu kusini na kuendelea na maisha(joto la Dar es Salaam halizoeleki).
 
Labda niwape background ya haya mashamba, kule nyuma kidogo tulinunua na kuanzisha misitu ya miti ya mbao, moto ukatulamba, wengi wamekata tamaa na kuamua kuyauza. Kuna eka 50 karibu mashamba 8 hivi, eka 100 kuna mapande 2, kuna eka 600 za pamoja, 40, Chini ya eka 50 kule ni ngumu kupata. Kwa hiyo ukisema nataka eka 50 nakuunganisha na mwenyewe sasa hivi. Zipo 159 hazina barabara.

Zenye hati za kimila tayari bei ni 250,000/, zipo 212, 50, 284, 150, 100,
Bei ishapanda kytoka 150 mpk 250
 
Kuna eka 140 zenye maji ya kutega, wenyewe wamekaza Tsh 300,000/, hazinunuliki sbb ya bei.
Ndio amana tulikwambia mzee shamba 150 kwa heka njombe hupati apo kwako unapouza 150 sio shamba ila ni jiwe
 
T
Bei ishapanda kytoka 150 mpk 250
Tatizo hamsomi, nimesema yasiyo na hati za kimila ni Tsh 150,000/ kwa eka na nimewapa na idadi, na yenye hati za kimila nimekwambia ni mangapi. Nimefafanua vizuri, kwa nini yanauzwa, bado huelewi. Sijui nikusaidieje.
 
Ndio amana tulikwambia mzee shamba 150 kwa heka njombe hupati apo kwako unapouza 150 sio shamba ila ni jiwe
Kuna watu mnapenda ubishi hadi basi (mimi nipo Nyave), kwa mwenye hela nimesema aende Nyave akalipie apige kazi. Kuamini sio lazima. Karibu tulime.
 
Mkuu mimi ni mzawa wa Kipagalo(Makete) sijaenda kule zaidi ya miaka 10 nimelowea Dar es Salaam.

Baada ya kuona mada hii nikauliza bei ya maeneo kwa Kipagalo na Bulongwa kwa ujumla nimetajiwa pesa nyingi.

Nimejiuliza inawezekanaje bei ya maeneo kwa Makete iwe juu halafu Njombe iwe chini wakati Njombe ni mkoani na Makete ni wilayani.

Nafuatilia kwasababu nina mpango wa kurudi maeneo ya nyanda za juu kusini na kuendelea na maisha(joto la Dar es Salaam halizoeleki).
Makete yote ardhi ni ghari sana,
Mimi pia kwetu ni Matamba kule Kitulo, nimekimbia na kuhamia Njombe/Madaba/Mufindi kutafuta mashamba.
 
Hicho wanacho kuambia kuwa maeneo ya mbali barabara inakua shida wapo sahihi. Jiografia ya Njombe ina milima kwa kiasi kikubwa hivyo usije juta siku.
 
Lupembe huko huko kabla haujafika barazani Kata Kona ingia ndani Kuna maeneo mazuri sana bei ni poa kinachonikera mda wote ni baridi na vumbi pia maeneo ya huko karibu mwakani naanza kuvuna parachichi
Milima huko
 
Back
Top Bottom