Point of No Return 19
JF-Expert Member
- Jul 2, 2023
- 203
- 472
namimi naweka kambia hapa, tusubiri wadauHey naomba kuuliza wapi kuna matokeo positive baada ya kuboost post ya bidhaa yako??
Kwenye wateja namaaanisha
Na je naweza kuweka pesa kiasi gani ili niweze kupata matokeo MAZURI ?
SawaFacebook✅
Instagram ni kwa jiri ya Blanding
Sawa na tsh ngap ?Facebook kama uko seriously Anza na Dola 20
😁😁😁Nadhani inategemea na aina ya biashara, kama ni biashara inayohitaji watu wengi na local bc nenda Facebook Ila kama ndio biashara za kuongeza makalio nenda IG
Hey naomba kuuliza wapi kuna matokeo positive baada ya kuboost post ya bidhaa yako??
Kwenye wateja namaaanisha
Na je naweza kuweka pesa kiasi gani ili niweze kupata matokeo MAZURI ?
Hata Mimi nimefikiria InstagramInstgram ndio sehemu nzuri ya kutanganza,ila uwe mbunifu ,watu wanasponsor hadi 1m kwa mwezi,hela ikiwa kubwa na wanaona tanganzo lako wanakuwa wengi
[emoji23] ume elewekaNadhani inategemea na aina ya biashara, kama ni biashara inayohitaji watu wengi na local bc nenda Facebook Ila kama ndio biashara za kuongeza makalio nenda IG
Aisee😃😃😄Facebook✅
Instagram ni kwa jiri ya Blanding
Facebook wapo local sanaunafanya biashara gani?
msisahau kuna tikotiko,linkedin na X
mimi nafanya cosmetics zile za levo ya kati wateja potential nawapata insta fb utoto mwingi
sana wanaopiga pesa ni wauza vipipi na mkorogo,🏃♂️🏃♂️Facebook wapo local sana