Wapi kuna matokeo mazuri baada ya kuboost/kufanya sponsor post ya biashara kati ya facebook na instagram

Wapi kuna matokeo mazuri baada ya kuboost/kufanya sponsor post ya biashara kati ya facebook na instagram

Facebook sponsor ads🔥🔥🔥.
Instagram🔥🔥
Ila uta acchieve sana Facebook.
Na wafanyabiashara wengi wanapita Facebook
Watu hawajui tu wamekariri Instagram.. huo ushamba wa watu wanaouona Fb ndio mzuri kwenye biashara coz hawajivuni wale... Insta kila mtu ye ndio yeye
 
Back
Top Bottom