Zeus1 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 7,152 Reaction score 9,206 Mar 11, 2024 #21 Facebook ni balaa zaidi.
Azniv Protingas JF-Expert Member Joined Oct 29, 2020 Posts 335 Reaction score 554 Mar 11, 2024 #22 Point of No Return 19 said: Facebook wapo local sana Click to expand... Ila Facebook ndio ina watumiajj wengi, hata ukiwa na kiswaswadu unaingia fb
Point of No Return 19 said: Facebook wapo local sana Click to expand... Ila Facebook ndio ina watumiajj wengi, hata ukiwa na kiswaswadu unaingia fb
Euphra JF-Expert Member Joined May 17, 2023 Posts 522 Reaction score 1,082 Mar 11, 2024 #23 Chance ndoto said: Facebook sponsor ads🔥🔥🔥. Instagram🔥🔥 Ila uta acchieve sana Facebook. Na wafanyabiashara wengi wanapita Facebook Click to expand... Watu hawajui tu wamekariri Instagram.. huo ushamba wa watu wanaouona Fb ndio mzuri kwenye biashara coz hawajivuni wale... Insta kila mtu ye ndio yeye
Chance ndoto said: Facebook sponsor ads🔥🔥🔥. Instagram🔥🔥 Ila uta acchieve sana Facebook. Na wafanyabiashara wengi wanapita Facebook Click to expand... Watu hawajui tu wamekariri Instagram.. huo ushamba wa watu wanaouona Fb ndio mzuri kwenye biashara coz hawajivuni wale... Insta kila mtu ye ndio yeye