MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
ukipata kishushio cha supu ya nyoka kwenye restaurant hiyo nami unistueWasalaam,
Naomba kuuliza ni wapi kuna migahawa inayohudumia Chakula cha kichina jijini Dar es salaam. Yaani Chakula cha kichina kiwe kweli kile cha Wachina haswaa, yaani kiwe kimepikwa kwa mapishi ya kichina.
Natanguliza Shukrani zangu.
Hahahaa sawa mkuu,ukipata kishushio cha supu ya nyoka kwenye restaurant hiyo nami unistue
Ulikula nyama ya jongoo weeee!!!Hivi ile chinese restaurant ya ya pale kitega uchumi bado ipooo woiiii nilishawahi ingia na kula chakula cha kichina
خرائط GoogleWasalaam,
Naomba kuuliza ni wapi kuna migahawa inayohudumia Chakula cha kichina jijini Dar es salaam. Yaani Chakula cha kichina kiwe kweli kile cha Wachina haswaa, yaani kiwe kimepikwa kwa mapishi ya kichina.
Natanguliza Shukrani zangu.
Kuna Mgahawa Mzuri hapo ndugu yangu ???Kama upo tayari twende tukatembee opposite na voda HQ
GREAT WALL CHINESE RESTAURANT ipo masaki Oysterbay barabara ya haile selaisieWasalaam,
Naomba kuuliza ni wapi kuna migahawa inayohudumia Chakula cha kichina jijini Dar es salaam. Yaani Chakula cha kichina kiwe kweli kile cha Wachina haswaa, yaani kiwe kimepikwa kwa mapishi ya kichina.
Natanguliza Shukrani zangu.
Shukrani mkuu,
Vipi chakula chao ni kuzuri au ni Chinese Restaurant jina tu ???Hivi ile chinese restaurant ya ya pale kitega uchumi bado ipooo woiiii nilishawahi ingia na kula chakula cha kichina
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niwacheeee sitaki kukumbuka nilichokula mxxieewwUlikula nyama ya jongoo weeee!!!
Hahahahaha,mkuu umemiss bandama za black mamba...
hahaha
Hahhahah hata jibu la kukupa sina mm sio mpenzi wa chinese foodVipi chakula chao ni kuzuri au ni Chinese Restaurant jina tu ???
[emoji57] [emoji57] [emoji57] ukute kono kono!!![emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji85] [emoji85] [emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niwacheeee sitaki kukumbuka nilichokula mxxieeww
Along Jamhuri Street approximately 30m from roundabout as you are heading to Morogoro Road on your right
GREAT WALL CHINESE RESTAURANT ipo masaki Oysterbay barabara ya haile selaisie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio kono kono wale mxxieew[emoji57] [emoji57] [emoji57] ukute kono kono!!![emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
kiufupi huduma si 100% upate za kichina ila mimi nimepata huduma hapo great wall ni wazuri na wahudumu ni wenyewe na waswahili.Shukrani mkuu,
Nimeangalia google nikaziona baadhi,
Lakini ninachotaka ni kufahamu uzoefu wa watu waliowahi kwenda maana unaweza kwenda kumbe huduma za kawaida tu.