Wapi mkoani Dar es Salaam kuna Chinese restaurant nzuri?

Wapi mkoani Dar es Salaam kuna Chinese restaurant nzuri?

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,113
Reaction score
65,124
Wasalaam,
Naomba kuuliza ni wapi kuna migahawa inayohudumia Chakula cha kichina jijini Dar es salaam. Yaani Chakula cha kichina kiwe kweli kile cha Wachina haswaa, yaani kiwe kimepikwa kwa mapishi ya kichina.

Natanguliza Shukrani zangu.
 
ukipata kishushio cha supu ya nyoka kwenye restaurant hiyo nami unistue
 
ukipata kishushio cha supu ya nyoka kwenye restaurant hiyo nami unistue
Hahahaa sawa mkuu,
Kama sintakufa tu, chakula chochote kile kwangu ni halali kasoro nyama ya Binadamu au ile Kibudu.
Lakini nikaenda sehemu nkakuta watu wanakula hata mjusi na hawafi basi mimi ntakula vizuri kabisa bila shida.
 
Wasalaam,
Naomba kuuliza ni wapi kuna migahawa inayohudumia Chakula cha kichina jijini Dar es salaam. Yaani Chakula cha kichina kiwe kweli kile cha Wachina haswaa, yaani kiwe kimepikwa kwa mapishi ya kichina.

Natanguliza Shukrani zangu.
GREAT WALL CHINESE RESTAURANT ipo masaki Oysterbay barabara ya haile selaisie
 
Shukrani mkuu,
Nimeangalia google nikaziona baadhi,
Lakini ninachotaka ni kufahamu uzoefu wa watu waliowahi kwenda maana unaweza kwenda kumbe huduma za kawaida tu.
kiufupi huduma si 100% upate za kichina ila mimi nimepata huduma hapo great wall ni wazuri na wahudumu ni wenyewe na waswahili.
pengine unaweza pia kupita pale NBAA HOUSE Bibi titi road pia wako vizuri wahudumu ni wenyewe wachina wanaongea kiswahili pia
 
Back
Top Bottom