Wapi mkoani Dar es Salaam kuna Chinese restaurant nzuri?

Wapi mkoani Dar es Salaam kuna Chinese restaurant nzuri?

kiufupi huduma si 100% upate za kichina ila mimi nimepata huduma hapo great wall ni wazuri na wahudumu ni wenyewe na waswahili.
pengine unaweza pia kupita pale NBAA HOUSE Bibi titi road pia wako vizuri wahudumu ni wenyewe wachina wanaongea kiswahili pia
Kama kuna wahusika wakichina wenyewe basi natumai patakuwa pazuri,
Shukrani sana mkuu, ntapita hizo sehemu nifanya ukaguzi wangu mwenyewe.
 
[emoji12] [emoji108] [emoji109]
images%20(4).jpeg
 
Zhong hua Garden, Victoria, Ali Hassan Mwinyi Road.

Sijui kama wana chakula kizuri ila naijua kwakua iko upande ambao nilikua natafuta mkate wa kila siku.
 
Back
Top Bottom