ππ yaani wale ni mbwehaπ.Wapare ni mbwa mbona mi nasemaga πΉπΉπΉ
Hilo kabila wanaume wote vibuyu π€£
Ww wabembeleze hao diaspora wakufanyie wepesi waitume kwa DHL mambo yaishe, wafanyabiashara watakuharibia muonekano wako na dada yangu ulivyo mzuri.!!
One week ikizidi 2 weeks kwa flight si unaagiza ka parcel kadogo tu.!!Hivi ukiagiza huko inachukua muda gani kufika?
nimekuonaHabari.
Naomba msaada kwa anayejua kwa Dar ni wapi naweza kupata CLINIQUE 3 STEPS SET isio fake.
Kuna niliyonunua somewhere,sitataja duka ila nahisi ni fake sbb nimepaka siku moja tu asubuhi nakuta nimepatwa na huto tupele usoniππ πππππ
Imebidi niitupe ila sijui kitu kingine cha kupaka usoni zaidi ya CLINIQUE ambayo naitumia toka niko msichana mpaka leo niko mbibi..
Kabla hujauliza siku zote nilikua nanunua wapi,jibu ni huwa naletewa kutoka abroad ila hajapatikana mtu wa kuja Tz kuniletea na ishaniishia.
NATANGULIZA SHUKRANIView attachment 3048999View attachment 3049001
πππ wapuuzi sana wapareππ yaani wale ni mbwehaπ.
Diaspora wanaringa wanakuja kila siku ila wanajidai siku hizi kilo chache wanaruhusiwa kubeba.Ngoja niache ubahili nitumiwe tu kwa dhl.
Sina uzuri wowote dogo ila nasemaga uzuri nikose na usoft pia nikoseππ
kama mafuta ya mkia wa kondoo au ya ng'ombe yatakufaa ,nipo kukusaidiaHabari.
Naomba msaada kwa anayejua kwa Dar ni wapi naweza kupata CLINIQUE 3 STEPS SET isio fake.
Kuna niliyonunua somewhere,sitataja duka ila nahisi ni fake sbb nimepaka siku moja tu asubuhi nakuta nimepatwa na huto tupele usoniππ πππππ
Imebidi niitupe ila sijui kitu kingine cha kupaka usoni zaidi ya CLINIQUE ambayo naitumia toka niko msichana mpaka leo niko mbibi..
Kabla hujauliza siku zote nilikua nanunua wapi,jibu ni huwa naletewa kutoka abroad ila hajapatikana mtu wa kuja Tz kuniletea na ishaniishia.
NATANGULIZA SHUKRANIView attachment 3048999View attachment 3049001
Labda zilikuwa hazilipi akaamua kujaziliza faida na za mchinaJestina wa Zurii pia alikua analeta vitu toka UK ila sasa nikishaona duka lina product na za china nawaza u genuine wa hizo nyingine pia.
SH Amon zamani alikua uhakika sana
Na bongo hii bidhaa bila kuchakachua hutoboi, ukileta genuine product mzunguko wake mdogo na una wateja wachache.!!Labda zilikuwa hazilipi akaamua kujaziliza faida na za mchina
Kama kuna maduka ya bidhaa za π¬π§ basi umenipa idea nzuri, kama wateja mpo safi sana
Nimewaza sana hiloNa bongo hii bidhaa bila kuchakachua hutoboi, ukileta genuine product mzunguko wake mdogo na una wateja wachache.!!
Bongo utawauzia wa ushuani na hao mzunguko wao mdogo, ila unaweza kupiga copy unauza.!!Nimewaza sana hilo
Maana wenye hela wa kulipia bidhaa kama hizo kwa bei hizo ni wachache
Nimeangalia bei zake ni mpaka laki ya bongo sasa nauzaje kwa mfano
Kweli hutoboi bila feki
Hii ni kweli kabisa!Na bongo hii bidhaa bila kuchakachua hutoboi, ukileta genuine product mzunguko wake mdogo na una wateja wachache.!!
Mimi nna makorokoro mengi mpk najiogopa πππKabisa dogo.
Mwanamke usoft
Watu wanaotamani vitu real wapo ila sidhani kama ni wengi ila fanya research uturahishie maisha.Labda zilikuwa hazilipi akaamua kujaziliza faida na za mchina
Kama kuna maduka ya bidhaa za π¬π§ basi umenipa idea nzuri, kama wateja mpo safi sana
ππππ Mimi nikiwa mmojawapo wa kuuza Jordan, Nike, Gucci, Prada fakeHii ni kweli kabisa!
Majuzi tu hapa nilikuwa na extra pair ya Nike [sneakers] nikaamua kuuza.
Mpaka leo sijapata wa kuzinunua. Tatizo ni bei.
Lakini kila nikikatiza mitaa naona watu wamevaa Nike kila sehemu.
Nimekuja kugundua asilimia 99 wanavaa feki π€£.
Kama una bidhaa isiyo feki, good luck on finding buyers.
Nimeona wadada kibao wana mabegi/ pochi za MCM!
MCM halisi bei yake si ya kitoto.
Watanzania waliopo Tanzania wanapata wapi hela za kununua MCM??
Feki feki feki!
Basi acha tuendelee kuwauzia mpaka nyundo feki ukigonga msumari nyundo inavunjika anarudi kununua nyingineBongo utawauzia wa ushuani na hao mzunguko wao mdogo, ila unaweza kupiga copy unauza.!!
Wabongo tuna maujinga mengi tunapenda vitu vizuri ila visiwe na bei kubwa.!!
Utakuta kaenda duka lina genuine product katajiwa 150,000 halafu akaenda duka lenye copy bidhaa fake inauzwa 50,000 ataenda kuambia wenzie yule ana bei mwizi wote wanahamia kwenye duka la bidhaa fake.!!
Kufanya biashara na mbongo inataka moyo utazika pesa yako tu.!
Lazima uchanganye la sivyo kutoboa kazi sana ila unaainisha tu hizi bei poa na hizi genuine productWatu wanaotamani vitu real wapo ila sidhani kama ni wengi ila fanya research uturahishie maisha.