Wapi napata genuine CLINIQUE PRODUCTS kwa Dar?

Wapi napata genuine CLINIQUE PRODUCTS kwa Dar?

Pridah

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
1,495
Reaction score
3,453
Habari.

Naomba msaada kwa anayejua kwa Dar ni wapi naweza kupata CLINIQUE 3 STEPS SET isio fake.

Kuna niliyonunua somewhere,sitataja duka ila nahisi ni fake sbb nimepaka siku moja tu asubuhi nakuta nimepatwa na huto tupele usoni😭😭 😭😭😭😭😭

Imebidi niitupe ila sijui kitu kingine cha kupaka usoni zaidi ya CLINIQUE ambayo naitumia toka niko msichana mpaka leo niko mbibi..

Kabla hujauliza siku zote nilikua nanunua wapi,jibu ni huwa naletewa kutoka abroad ila hajapatikana mtu wa kuja Tz kuniletea na ishaniishia.

NATANGULIZA SHUKRANI
IMG_20240721_152359_HDR.jpg
Screenshot_20240722-153042.jpg
 
Dogo najua ukifika napata jibu Lamomy
Dada umepotea ulifichwa wapi wewe??
Bongo og bado sana wengi wanazitoa kutoka dubai au China wanabandika stika, magumashi mengi.!!
Mimi nikinunua kitu nikiwa na wenge nacho nascan barcode 😹😹😹
Ila jaribu kwa huyu ndugu yangu Muzungu store Kkoo msimbazi pale.

Au km vipi agiza moja kwa moja DHL wakuletee mzigo wako.
 
Achukue moja kwa moja ebay awe na uhakika hawa wa huku hawachelewi kukuumua sura, nilitumia sunscreen moja ilinitoa harara mpk hun akajua tayari.!!
Hahaha mambo ya kojic acid sijui
Ni hatari
Ila nahis Sh armon ana genuine product kwa bongo
Japo sina uhakika lakini ndo nazitumia since
 
Dada umepotea ulifichwa wapi wewe??
Bongo og bado sana wengi wana wanazitoa kutoka dubai au China wanabandika stika, magumashi mengi.!!
Mimi nikinunua kitu nikiwa na wenge nacho nascan barcode 😹😹😹
Ila jaribu kwa huyu ndugu yangu Muzungu store Kkoo msimbazi pale.

Au km vipi agiza moja kwa moja DHL wakuletee mzigo wako.
Sijafichwa mdogo wangu sema kuna shem wako mmoja ananivuga yaan siku ukiwa gaidi anza kuua wapare wote wa kiume😀,sio watu hao😀.

Anywayz.Kama wewe umesema hakuna acha niendelee kuwapigia goti hawa diaspora au DHL mana kupaka kitu cha kkoo usoni naogopa sana.
 
Hahaha mambo ya kojic acid sijui
Ni hatari
Ila nahis Sh armon ana genuine product kwa bongo
Japo sina uhakika lakini ndo nazitumia since
Sh armon zamani siku hizi Sauli naye anazingua anamix, genuine product kupata bongo hii labda uwe na normal skin haichagui ila hizi zetu zenye maringo 😹😹😹
Kojic imeleta balaa kila mtu na matokeo yake wengine wamebabuka hataree tupu.!!
 
Achukue moja kwa moja ebay awe na uhakika hawa wa huku hawachelewi kukuumua sura, nilitumia sunscreen moja ilinitoa harara mpk hun akajua tayari.!!
Hivi ukiagiza huko inachukua muda gani kufika?
 
Sijafichwa mdogo wangu sema kuna shem wako mmoja ananivuga yaan siku ukiwa gaidi anza kuua wapare wote wa kiume😀,sio watu hao😀.

Anywayz.Kama wewe umesema hakuna acha niendelee kuwapigia goti hawa diaspora au DHL mana kupaka kitu cha kkoo usoni naogopa sana.
Wapare ni mbwa mbona mi nasemaga 😹😹😹
Hilo kabila wanaume wote vibuyu 🤣

Ww wabembeleze hao diaspora wakufanyie wepesi waitume kwa DHL mambo yaishe, wafanyabiashara watakuharibia muonekano wako na dada yangu ulivyo mzuri.!!
 
Hahaha mambo ya kojic acid sijui
Ni hatari
Ila nahis Sh armon ana genuine product kwa bongo
Japo sina uhakika lakini ndo nazitumia since
Jestina wa Zurii pia alikua analeta vitu toka UK ila sasa nikishaona duka lina product na za china nawaza u genuine wa hizo nyingine pia.
SH Amon zamani alikua uhakika sana
 
Back
Top Bottom