Habari.
Naomba msaada kwa anayejua kwa Dar ni wapi naweza kupata CLINIQUE 3 STEPS SET isio fake.
Kuna niliyonunua somewhere,sitataja duka ila nahisi ni fake sbb nimepaka siku moja tu asubuhi nakuta nimepatwa na huto tupele usoni😭😭 😭😭😭😭😭
Imebidi niitupe ila sijui kitu kingine cha kupaka usoni zaidi ya CLINIQUE ambayo naitumia toka niko msichana mpaka leo niko mbibi..
Kabla hujauliza siku zote nilikua nanunua wapi,jibu ni huwa naletewa kutoka abroad ila hajapatikana mtu wa kuja Tz kuniletea na ishaniishia.
NATANGULIZA SHUKRANI
View attachment 3048999View attachment 3049001