Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
Wakuu!
Wapi napata mikopo mikubwa bila riba?
nipeni hints
Wapi napata mikopo mikubwa bila riba?
nipeni hints
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda benki za waislamu.. wenyewe hawana riba wana faida.
Azania sio bank ya kiislamu ama unamaanisha Amana?alokwambia nani??
Azania ina riba kubwa kuliko hata nmb
Astagafirallah
Mikubwa ya kiasi gani mkuu?Wakuu!
Wapi napata mikopo mikubwa bila riba?
nipeni hints
hapo kwene kuliwa hapo duuhMikubwa ya kiasi gani mkuu?
Halafu unatakaje mkopo usio na riba?
Nani akupe pesa yake ukae nayo tu ufanyie mambo yako halafu usimlipe gharama ya kukaa na hizo hela zake?
Riba ni gharama ya kukaa na kutumia fedha ya mtu.
Mkuu kwenye hii Dunia hakuna kitu cha bure, no free lunch. Ukitaka kula lazima uliwe.
Mbona we jamaa huna akili???Daaah!! chunga ubingwa wako!! Ucje ukavuliwa sw.
KAZI ni kipimo cha UTU
yuko wapKwa Yesu
Amana ndioAzania sio bank ya kiislamu ama unamaanisha Amana?
Azania ni bank ya serikali kwa sababu inamilikiwa na psssf na nhif kwa 100%.
Wewe hujuialokwambia nani??
Azania ina riba kubwa kuliko hata nmb
Astagafirallah
Acha kupotosha hiyo faida ndio riba yenyewe,sema wameipamba kwa jina jipya ila mvinyo uleule.Nenda benki za waislamu.. wenyewe hawana riba wana faida.
Nenda kwa waislamu! Wanakopesha bila riba! Kwao riba ni haramu! Hata wakienda benki wanakopeshwa bila ribaWakuu!
Wapi napata mikopo mikubwa bila riba?
nipeni hints
Elimu inahitajika hapa.Acha kupotosha hiyo faida ndio riba yenyewe,sema wameipamba kwa jina jipya ila mvinyo uleule.
Elimu inahitajika hapa.
Haiwezekani mtu mzima ukaamini faida ndio riba.
Wakuu!
Wapi napata mikopo mikubwa bila riba?
nipeni hijaribu kwa ndugu
wananikopesha pesa ndogoJa
Jaribu kwa ndugu zako wa karibu......