SUKAH
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 1,753
- 1,968
Ufia dini umetokea wapi? Au kwa kuwa umemuona Mos Def kwenye profile picture.Mfia dini kavamia uzi[emoji23][emoji23][emoji23]oi tafuta uzi wa dini usinialibie uzi na jihadi zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ufia dini umetokea wapi? Au kwa kuwa umemuona Mos Def kwenye profile picture.Mfia dini kavamia uzi[emoji23][emoji23][emoji23]oi tafuta uzi wa dini usinialibie uzi na jihadi zako
Kama ni mtumishi wa umma, kopa hazina (nasisitiza hazina, sio Hazina Saccos, ni vitu viwili tofauti). Riba ni 0%.Wakuu!
Wapi napata mikopo mikubwa bila riba?
nipeni hints
Mambo ya islamic banking yanatokea wapi. Mimi sipo huko kabisa.Riba iko in monetary terms.
Faida ya Islamic banking iko kwenye terms zipi?
Mbona unakwepa swali.Mambo ya islamic banking yanatokea wapi. Mimi sipo huko kabisa.
Hapa kaa kwa utulivu na uwe na akili huru (hata kama katika makuzi yako umekuwa ukijua kuwa riba ni sawa na faida) kujifunza, technically, kuwa riba ni nini na faida ni nini.
Nenda kwa Baltazari EgongaWakuu!
Wapi napata mikopo mikubwa bila riba?
nipeni hints
Nenda kwa waislamu! Wanakopesha bila riba! Kwao riba ni haramu! Hata wakienda benki wanakopeshwa bila riba
Inabidi walimu wakazane sana kutufundishia vizuri watoto wetu huko mashuleni.Mbona unakwepa swali.
Riba iko in monetary terms, je hiyo faida inayokatwa na benki zinazofuata Sharia inakatwa kwenye terms zipi?
Money is a medium of exchange, hao PBZ au Amana hiyo faida wanaichukuaje. Mapera, matenga ya nyanya, grams za dhahabu, madebe ya mchele au nini?
Benki inaniuzia bidhaa kwani yenyewe imesajiriwa kama trading company au financial service provider. Mimi nataka kununua mahindi tani 50 nimekuja kukopa, benki na biashara ya mahindi wapi na wapi mpaka waniuzie.Sasa hizo benki ulizotaja zinafanya hii ya kupata faida. Wanakuuzia bidhaa in advance na wewe unawapa (wanakukata pesa) pesa mdogo mdogo.
Nilidhani una idea japo kidogo ndio maana nkasema wanakuuzia.Benki inaniuzia bidhaa kwani yenyewe imesajiriwa kama trading company au financial service provider. Mimi nataka kununua mahindi tani 50 nimekuja kukopa, benki na biashara ya mahindi wapi na wapi mpaka waniuzie.
Na kama nataka investment ambayo sio bidhaa bali service provision. Nafungua mgahawa naenda hiyo bank observing Sharia, wananinunulia vyakula na kunikodia premises za mgahawa?
Na kwa majibu yako, bado haujasema faida wanaichukua vipi. Kama wananikopesha labda 10M, kisha wanakata kidogo kidogo na hawachukui riba si inatakiwa wakate hadi 10M ifike. Au wanazidisha kiwango ndio iwe faida (technically ni riba).
Very confusing
Alichokielezea SUKAH ni sahihi. Yaani wewe unasema nataka kitu fulani. Wao unawapelekea invoice ya matumizi then wanalipa pesa kule unapotaka kuchukua hiyo bidhaa (so mkopo hawakupi wewe) then wewe utaenda kuchukua bidhaa husika na utawalipa kwa faida. Say ni kitu cha milioni 10, wewe utarejesha 10.5M. yaani wao wanakuuzia kwa faida.Benki inaniuzia bidhaa kwani yenyewe imesajiriwa kama trading company au financial service provider. Mimi nataka kununua mahindi tani 50 nimekuja kukopa, benki na biashara ya mahindi wapi na wapi mpaka waniuzie.
Na kama nataka investment ambayo sio bidhaa bali service provision. Nafungua mgahawa naenda hiyo bank observing Sharia, wananinunulia vyakula na kunikodia premises za mgahawa?
Na kwa majibu yako, bado haujasema faida wanaichukua vipi. Kama wananikopesha labda 10M, kisha wanakata kidogo kidogo na hawachukui riba si inatakiwa wakate hadi 10M ifike. Au wanazidisha kiwango ndio iwe faida (technically ni riba).
Very confusing
Umenipa maelezo mazuri mkuu SUKAH ulikuwa unajua ila unakwepa kunyoosha maelezo.Alichokielezea SUKAH ni sahihi. Yaani wewe unasema nataka kitu fulani. Wao unawapelekea invoice ya matumizi then wanalipa pesa kule unapotaka kuchukua hiyo bidhaa (so mkopo hawakupi wewe) then wewe utaenda kuchukua bidhaa husika na utawalipa kwa faida. Say ni kitu cha milioni 10, wewe utarejesha 10.5M. yaani wao wanakuuzia kwa faida.
Kwa uzoefu wangu, ni utaratibu mzuri sema nahisi hauko practical kwa baadhi ya scenario ila hiyo faida/riba ni kidunchu sana huwezi kuumia
Another scenario tofauti kidogo na mchangiaji hapo juu. Kwahiyo benki ndio wanafanya negotiations ya manunuzi kumbe, basi mkopo wa hii benki ni kwa baadhi ya biashara. Lakini kama ingekuwa inatolewa kwa wingi naona ni mizuri sana. Tatizo wigo mdogo.Nilidhani una idea japo kidogo ndio maana nkasema wanakuuzia.
Unataka gunia 10 za mahindi, wanakupigia gharama za hizo gunia, wanakulipia kwa supplier unaenda kuchukua gunia zako 10 kwa gharama mlizokubaliana.
Sasa wao (banks) na supplier walichokubaliana wewe hakikuhusu. Na hapo ndio faida inapopatikana.
Ndio wanakopa bila shida. Sema tu utafungua account husika watakayokuelekezaUmenipa maelezo mazuri mkuu SUKAH ulikuwa unajua ila unakwepa kunyoosha maelezo.
Kama nawapa invoice na terms nafanya mimi hapo sawa. Ila bado hiyo faida nitakayowapa ni monetary terms ambayo ni kama riba stahimilivu. Ni utaratibu mgumu sana. Je ambao sio Waislamu wanaweza kupokea huu mkopo?
Kitu ni kilekile ni yale yake yakubadilisha kodi kuiita tozo kwa sababu “double taxation” hairuhusiwi kisheriaAlichokielezea SUKAH ni sahihi. Yaani wewe unasema nataka kitu fulani. Wao unawapelekea invoice ya matumizi then wanalipa pesa kule unapotaka kuchukua hiyo bidhaa (so mkopo hawakupi wewe) then wewe utaenda kuchukua bidhaa husika na utawalipa kwa faida. Say ni kitu cha milioni 10, wewe utarejesha 10.5M. yaani wao wanakuuzia kwa faida.
Kwa uzoefu wangu, ni utaratibu mzuri sema nahisi hauko practical kwa baadhi ya scenario ila hiyo faida/riba ni kidunchu sana huwezi kuumia
Hapana, hapa imefanyika biashara, na biashara inaleta faida au hasara, na sio riba.Kitu ni kilekile ni yale yake yakubadilisha kodi kuiita tozo kwa sababu “double taxation” hairuhusiwi kisheria
Wewe ni Lecture au?Benki inaniuzia bidhaa kwani yenyewe imesajiriwa kama trading company au financial service provider. Mimi nataka kununua mahindi tani 50 nimekuja kukopa, benki na biashara ya mahindi wapi na wapi mpaka waniuzie.