Wapi napata mikopo mikubwa bila riba?

Wapi napata mikopo mikubwa bila riba?

Nilidhani una idea japo kidogo ndio maana nkasema wanakuuzia.
Unataka gunia 10 za mahindi, wanakupigia gharama za hizo gunia, wanakulipia kwa supplier unaenda kuchukua gunia zako 10 kwa gharama mlizokubaliana.

Sasa wao (banks) na supplier walichokubaliana wewe hakikuhusu. Na hapo ndio faida inapopatikana.
Mi nahitaji kuanzisha biashara ya nguruwe vipi naweza kuwasiliana nao wakamtafuta supply nitalipa faida yao
 
Na ndio maana wao hawakupi hela kama ni bidhaa unawaunganisha kwa supplier wananunua then wanakuuzia wewe ila ndo uwalipe kwa installment
Ni kweli na una nafasi ya kuelimisha umma ila all in all, hata kama sio riba ni faida ila hawezi kuchukua 10M akarudisha kiasi kile kile.
 
Riba ni return on investment na faida kwa mkopeshaji.

Pia hiyo faida unayodai benki za sharia zinatoza iko in monetary terms. Na riba vilevile ni monetary terms, sasa tofauti nini?

Rushwa ya laki moja ukiita mkono mrefu, chochote kitu, chai, takrima, ya soda au vyovyote inagoma kuwa laki?
Riba always ni faida inayopatikana kwenye biashara ya mikopo na but faida ya maudhiano ya bidhaa au huduma nyingne sio riba bali ni faida kama faida kama una idea na finance unaweza kuwa umeelewa
 
Wewe ni Lecture au?
Yaani unavyojitahidi kufafanua hata mtoto wa chekechea angeelewa ila mtu mzima haelewi lakini huchoki kumuelimisha hongera kwa hekima mi sinaga subra kwa mpumbavu Kama huyo mvaa kobazi ningeshamtukana
Mkuu T14 Armata hajatukana na hakika ana hekima sana. Ameeleza kila anachojua kuhusu riba na faida na kwa upande wangu nimeeleza kile ninachojua kuhusu riba na faida.

Kama ni kutukana kila mmoja anaweza kutukana humu.
 
Hakuna Bank inayoweza kujiendesha bila riba watabadili majina tu lakini misingi ni ile ile unachokopa na utakacholipa haviwezi kuwa sawa
 
Hakuna Bank inayoweza kujiendesha bila riba watabadili majina tu lakini misingi ni ile ile unachokopa na utakacholipa haviwezi kuwa sawa
Hiyo sio hoja yangu.

Hata kwenye biashara bei ya kununulia bidhaa inaweza kuwa tofauti na bei ya kuuzia bidhaa hiyo hiyo, hivyo mfanyabiashara anaweza kupata faida au hasara.

Hata hivyo hoja yangu ya msingi ni kuwa faida na riba ni vitu viwili tofauti, hata kama mwishoni vyote vinaweza kuwa expressed in monetary terms bado haimaanishi ni kitu kimoja.

Wataalamu wa finance mliosoma na mkaelewa hivi vitu vizuri mnaweza kuwasaidia watanzania wenzetu huku.
 
Mkuu T14 Armata hajatukana na hakika ana hekima sana. Ameeleza kila anachojua kuhusu riba na faida na kwa upande wangu nimeeleza kile ninachojua kuhusu riba na faida.

Kama ni kutukana kila mmoja anaweza kutukana humu.
Samahani Kama nimetumia lugha yenye kuudhi mkuu ila hiyo riba ndio faida pia kwa mabenki.
Suala ni margin iliyopo Kati ya kiasi ulichokopa na kile unatakiwa ulipe
 
Back
Top Bottom