Imole
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 1,438
- 4,053
Sio ribaAcha kupotosha hiyo faida ndio riba yenyewe,sema wameipamba kwa jina jipya ila mvinyo uleule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio ribaAcha kupotosha hiyo faida ndio riba yenyewe,sema wameipamba kwa jina jipya ila mvinyo uleule.
Nimemuona hana akiliElimu inahitajika hapa.
Haiwezekani mtu mzima ukaamini faida ndio riba.
Mi nahitaji kuanzisha biashara ya nguruwe vipi naweza kuwasiliana nao wakamtafuta supply nitalipa faida yaoNilidhani una idea japo kidogo ndio maana nkasema wanakuuzia.
Unataka gunia 10 za mahindi, wanakupigia gharama za hizo gunia, wanakulipia kwa supplier unaenda kuchukua gunia zako 10 kwa gharama mlizokubaliana.
Sasa wao (banks) na supplier walichokubaliana wewe hakikuhusu. Na hapo ndio faida inapopatikana.
Ni kweli na una nafasi ya kuelimisha umma ila all in all, hata kama sio riba ni faida ila hawezi kuchukua 10M akarudisha kiasi kile kile.
Riba always ni faida inayopatikana kwenye biashara ya mikopo na but faida ya maudhiano ya bidhaa au huduma nyingne sio riba bali ni faida kama faida kama una idea na finance unaweza kuwa umeelewaRiba ni return on investment na faida kwa mkopeshaji.
Pia hiyo faida unayodai benki za sharia zinatoza iko in monetary terms. Na riba vilevile ni monetary terms, sasa tofauti nini?
Rushwa ya laki moja ukiita mkono mrefu, chochote kitu, chai, takrima, ya soda au vyovyote inagoma kuwa laki?
Unajifanya mwehu😀, wqtafuteMi nahitaji kuanzisha biashara ya nguruwe vipi naweza kuwasiliana nao wakamtafuta supply nitalipa faida yao
Mkuu T14 Armata hajatukana na hakika ana hekima sana. Ameeleza kila anachojua kuhusu riba na faida na kwa upande wangu nimeeleza kile ninachojua kuhusu riba na faida.Wewe ni Lecture au?
Yaani unavyojitahidi kufafanua hata mtoto wa chekechea angeelewa ila mtu mzima haelewi lakini huchoki kumuelimisha hongera kwa hekima mi sinaga subra kwa mpumbavu Kama huyo mvaa kobazi ningeshamtukana
Hakuna Bank inayoweza kujiendesha bila riba watabadili majina tu lakini misingi ni ile ile unachokopa na utakacholipa haviwezi kuwa sawaMkuu T14 Armata hajatukana na hakika ana hekima sana. Ameeleza kila anachojua kuhusu riba na faida na kwa upande wangu nimeeleza kile ninachojua kuhusu riba na faida.
Kama ni kutukana kila mmoja anaweza kutukana humu.
Hiyo sio hoja yangu.Hakuna Bank inayoweza kujiendesha bila riba watabadili majina tu lakini misingi ni ile ile unachokopa na utakacholipa haviwezi kuwa sawa
humu naamin kuna wahasibu wazuri watuambie "INTEREST" ni kitu gani na kwenye kufunga maesabu inawekwa wapi?Income statement,Balancesheet,Statement of Equity na Cashflow statementndo tunakuuliza riba ni nini??
riba unawekewa mteja kama gharama ya kukaa na pesa
Kwa anaekukopesha hyo ndo faida yake
Unaswali anu unasali?Wakuu!
Wapi napata mikopo mikubwa bila riba?
nipeni hints
Samahani Kama nimetumia lugha yenye kuudhi mkuu ila hiyo riba ndio faida pia kwa mabenki.Mkuu T14 Armata hajatukana na hakika ana hekima sana. Ameeleza kila anachojua kuhusu riba na faida na kwa upande wangu nimeeleza kile ninachojua kuhusu riba na faida.
Kama ni kutukana kila mmoja anaweza kutukana humu.